Tanzania tuchukue tahadhari kubwa, Wakenya mbioni kutuletea Coronavirus Tanzania!

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
12,699
Reaction score
22,598
Serikali ya Kenya, japo imesimamisha ndege zake za KQ kwenda China, imekuwa ikiruhusu abiria kutoka China kungia nchini humo bila kuwa na tahadhari zozote zaidi ya kuwapima joto wanapowasili uwanja wa Jomo Kenyatta au kuwadhibiti katika kile kipindi cha siku 14.

Hii imezua taharuki kwa wafanyakazi wa uwanjani hapo kuwa wakigoma kuwaruhusu kuingia japo serikali haoionyeshi kuwa na tatizo nauingia kwao.

Hii ina maana nchi za jirani na Kenya kama hapa Tanzania tupo hatarini sana kuletewa coronavirus kutokana na msimamo huu wa serikali ya Kenya.

Chanzo: https://www.africanews.com/2020/02/28/ivory-coast-tests-suspected-coronavirus-case/
Chanzo: https://www.nation.co.ke/news/Coron...-drama-at-JKIA/1056-5470382-6k9xql/index.html

Chinese airline resumes flights to Kenya
Kenyan authorities on Wednesday confirmed that China Southern Airlines had resumed flights from Guangzhou to Nairobi, triggering an outcry from panicked citizens.

Kenyans quickly took to social media to criticise the government for allowing planes carrying Chinese expatriates, workers and traders to land at the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) while at the same time refusing to evacuate Kenyans from China.

On Thursday, Foreign Affairs Cabinet Secretary Raychelle Omamo said there was no need to worry about the flights from China, adding that guidelines by the World Health Organisation were adhered to in clearing the passengers.

The ministry however also issued a travel advisory to all Kenyans against visiting countries with mass infections.

“Kenyans are advised against non-essential travel to countries experiencing the outbreak. This is in view of the expanding geographical [reach] of the outbreak across the world,” it said in a statement.

Kenyans have been asked to maintain hygiene and avoid contact with persons exhibiting symptoms such as fever, coughs, difficulty breathing and sneezing.

The Chinese have on the other hand been asked to self-quarantine for 14 days.

Update:

Kenya wanajitambua sana. Mahakama kuu imepiga marufuku ndege za China kuendelea kuingia nchini humo na imeamuru Wachina wote walioingia wakamatwe na kupelekwa kambi ya jeshi.

Tanzania mahakama zetu zinaweza kufanya kitu kama hiki? Au judge atampigia simu Magufuli kuoma ushauri atoe hukumu gani?

The High Court has suspended flights from China for 10 days because of the coronavirus.

The court also ordered all passengers, who arrived in Nairobi on a Chinese plane Wednesday morning, be quarantined at a military facility.

Justice James Makau issued the orders after three cases were filed Friday against the Kenya government. The petitioners wanted the court to bar travellers from China and other coronavirus hotspots from entering the country.

“Upon perusal of all petitions and prayers sought, I find that unless a conservatory order is issued, Kenyans will be exposed to the deadly disease,” said Justice Makau.

The cases were filed at the High Court by the Law Society of Kenya, two doctors and an advocate.

They all sued Cabinet Secretaries for Health, Transport and Interior, Kenya Airports Authority and the Attorney-General.
In the first case, the Law Society of Kenya listed China Southern Airlines Company Ltd as an interested party. LSK wanted the airline barred from bringing passengers from coronavirus hotspots to Kenya.

Justice Makau granted the request and suspended China Southern Airlines flights.
 
Hata bongo wanaruhusu wachina bado.... Kiufupi African countries are not serious.

Tatizo ukishakubali kuolewa unatakiwa kukaa mkao anaoutaka yule aliyekuoa na hutakiwi kulala na chupi ili iwe rahisi kugongwa muda wowote jamaa anapojiskia.
 
Wanasubiri corona iingie kwenye nchi zao halafu wapate misaada ya kupambana nayo, ukweli ni kwamba ugonjwa huu utaenea kila mahali na kila nchi itajitegemea kupambana kivyake.
Mkuu kuna jitihada za kuingiza Coronavirus kwenye nchi zinazoendelea kama hizi zetu ili wapate wagonjwa wa kujaribia madawa yao ambayo wanaogopa kuwajaribu watu wao. Hiyo nimepewa live!

Wao wanasema hawawezi kujaribu dawa ambazo hawajui side effects zake kwa watu wao, lakini kama wagojnwa na sisi walala hoi then hakuna tatzizo. Hizo dawa zikithibitika kufaa ndio wanawapa wagonjwa kwenye nchi zao
 
Hata Tz wanakuja,kuna clip inazunguka kuna gala mmoja yupo airport Jk nyerere anasema wachina wanaingia si chini ya 50.....wanakuja kwaajili ya rikizo hana hata aibu,siyo Kenya tu hata sisi hatujachukua tahadhari
 
Kwa hali ilipofikia corona haiziuliki kabisa ni suala la Massa itakuwa tayari imeshatua kenye,Uganda na Tanzania maana sasa sio wachina tu wenye huo ugonjwa bali Italia,Nigeria,Iran,Japan,korea nk sasa tutawazuia wote kuja huku shitholes
 
Nigeria imetoa taarifa kwamba kuna mgonjwa mmoja wa corona virus . Nigeria ni nchi yenye watu wengi katika bara la Africa . Je sisi Watanzania tumejiandaa in case atatokea mgonjwa wa corona virus
Je tuna wafanyakazi walipatiwa mafunzo, je tuna isolation ward, je tuna vifaa vya kutosha kama mask na ventilators , maabara ya uhakika katika ku test corona virus

Mungu ibariki TANZANIA
 
tunajiandaa na Membe
 
Hata Tz wanakuja,kuna clip inazunguka kuna gala mmoja yupo airport Jk nyerere anasema wachina wanaingia si chini ya 50.....wanakuja kwaajili ya rikizo hana hata aibu,siyo Kenya tu hata sisi hatujachukua tahadhari
Hivi kama Wachina wanaruhusiwa kuingia Tanzania kwa uhuru kabisa kutoka China, ni sababu zipi za msingi zilizoifanya serikali kukataa kuwarudisha Watanzania wanafunzi walioko China walipokuwa wanalia kila siku wasaidiwe kurudi kwa kuwa hadi vyuo vilifungwa?

Hivi Kabudi ana majibu ya ki-profesor kwa hili, au ana majibu ya ki-CCM tu?
 
Huo ugonjwa ukitua bongo kila kitu kitasimama na watakufa wagonjwa wengi wa ukimwi,maralia,typhoid na magonjwa mengine ya kawaida kuliko watakavyokufa wagonjwa wa Corona
 
Serikali ya Kenya, japo imesimamisha ndege zake za KQ kwenda China, imekuwa ikiruhusu abiria kutoka China kungia nchini humo bila kuwa na tahadhari zozote zaidi ya kuwapima joto wanapowasili uwanja wa Jomo Kenyatta au kuwadhibiti katika kile kipindi cha siku 14.

Hii imezua taharuki kwa wafanyakazi wa uwanjani hapo kuwa wakigoma kuwaruhusu kuingia japo serikali haoionyeshi kuwa na tatizo nauingia kwao.

Hii ina maana nchi za jirani na Kenya kama hapa Tanzania tupo hatarini sana kuletewa coronavirus kutokana na msimamo huu wa serikali ya Kenya.

Chanzo: https://www.africanews.com/2020/02/28/ivory-coast-tests-suspected-coronavirus-case/
Chanzo: https://www.nation.co.ke/news/Coron...-drama-at-JKIA/1056-5470382-6k9xql/index.html

Chinese airline resumes flights to Kenya
Kenyan authorities on Wednesday confirmed that China Southern Airlines had resumed flights from Guangzhou to Nairobi, triggering an outcry from panicked citizens.

Kenyans quickly took to social media to criticise the government for allowing planes carrying Chinese expatriates, workers and traders to land at the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) while at the same time refusing to evacuate Kenyans from China.

On Thursday, Foreign Affairs Cabinet Secretary Raychelle Omamo said there was no need to worry about the flights from China, adding that guidelines by the World Health Organisation were adhered to in clearing the passengers.

The ministry however also issued a travel advisory to all Kenyans against visiting countries with mass infections.

“Kenyans are advised against non-essential travel to countries experiencing the outbreak. This is in view of the expanding geographical [reach] of the outbreak across the world,” it said in a statement.

Kenyans have been asked to maintain hygiene and avoid contact with persons exhibiting symptoms such as fever, coughs, difficulty breathing and sneezing.

The Chinese have on the other hand been asked to self-quarantine for 14 days.
Tunamalizana kwanza na hili suala la Membe
 
Kuna nchi fulani ya Afrika mashariki ikigundua uwepo wa corona itaficha, wala haitatangaza![emoji12][emoji12][emoji12]
 
Viongozi wa waislamu nchini humo wameipa serikali masaa 72 kuwafurusha wachina walioingia juzikati!
 
Wanasubiri corona iingie kwenye nchi zao halafu wapate misaada ya kupambana nayo, ukweli ni kwamba ugonjwa huu utaenea kila mahali na kila nchi itajitegemea kupambana kivyake.
Watasema umepandikizwa na mabeberu, huu ndio wimbo wa siku hizi..tunaongozwa na matahira
 
Mkuu kuna jitihada za kuingiza Coronavirus kwenye nchi zinazoendelea kama hizi zetu ili wapate wagonjwa wa kujaribia madawa yao ambayo wanaogopa kuwajaribu watu wao. Hiyo nimepewa live!

Wao wanasema hawawezi kujaribu dawa ambazo hawajui side effects zake kwa watu wao, lakini kama wagojnwa na sisi walala hoi then hakuna tatzizo. Hizo dawa zikithibitika kufaa ndio wanawapa wagonjwa kwenye nchi zao
Hii ndio attitude ya kijinga ya kusingizia kila kitu wazungu kwa mistake zetu wenyewe, tunaona nchi nyingi dunian zimekatiza kabisa safari za na China, na sio China tu hata zile nchi zenye wagonjwa wengi kama Iran na italia, sisi tunaruhusu halafu tukipata hiyo corona tunasema ni wazungu ama wachina wametupandikizia ili wajaribishe chanjo, kwa akili hizi sijui tutapiga hatua lini..
 
Naam 5uchukue tahadhari sio kwa wakenya tu bali na majirani zote wote wanaotuzunguka.
NB
Rafiki wa adui yako ni adui pia.
 
Ngoja tupigwe block kuingia mataifa mengine ndo akili zitatukaa sawa.
 
Back
Top Bottom