nasri713
New Member
- Jun 12, 2024
- 1
- 0
Serikali kwa kiasi kikubwa imewekeza maeneo ya mjini na kutoweka nguvu kubwa maeneo ya vijijini kwa mfano asilimia 95% ya viwanda vipo mjini hivyo basi nimatumaini yangu kuwa miaka ijayo wawekezaji wataenda maeneo ya vijijini na kuwekeza katika sekta ya viwanda ili kupunguza tatizo la unemployment kwa vijana ambao ndiyo kwa kiasi kikubwa wanaosafiri kwenda maeneo ya mjini kutafuta kazi na wengineo huishia kuwa vibaka, waporaji na wezi
Upvote
1