Tanzania tujitoe Jumuiya ya Madola

Tanzania tujitoe Jumuiya ya Madola

Maswali gani ambayo huwezi kuyajengea hoja? Nikushauri tu, weka positive na negative impacts za kujitoa au kutojitoa tuchangie. Hili la maswali yako ya hovyo hupati kitu na Tanzania itaendelea kuwa mwanachama. Mark my word fella!
Sawa mkuu. Lakini siku nyingine jitahidi kusoma kilicho andikwa na wewe ujikite humo [ kwa maswali & majibu ] sio kujitungia chako .
 
Hoja yako wewe ni Tanzania kujitoa, lakini hujatwambia faida lukuki tutakazozipata kwa kujitoa na hasara kibao tunayoipata kwa kuwa kwenye Jumuiya ya Madola. Ebu weka hoja yako vizuri tuone tunachangiaje.
Nafikiri sababu yake kubwa ni kwa sababu serikali imeweka maombolezo ya siku 5 na yeye hataki/anapinga
 
Huna hoja, ulitakiwa utwambie hasara za kuwepo kwenye jumuiya ya madola ndio tujadili kama inafaa tutoke au la.

Kwa ulivyoandika naona hauna kabisa hoja ni kutaka tu kutupotezea muda. Tuendelee kuwemo kwenye jumuiya ya madola.
 
Umesoma lakini kilichoandikwa ? Ni mada ya kujadili au ni maswali yenye kuhitaji majawabu kutoka kwa wana jamii ?
 
- Habari za muda huu wana jamii wenzangu, natumai ni njema.

- Nilikuwa na dukuduku kuhusu uwepo wa taifa letu la Tanzania Jumuiya ya Madola, dukuduku langu limezaa maswali kadhaa yenye kuhitaji majawabu kutoka kwenu wana jamii wenzangu.

1. Kwanini Taifa la Tanzania lipo Jumuiya ya Madola?

2. Ni faida zipi tunapata kuhusu uwepo wetu Jumuiya ya Madola?

3. Ni hasara zipi tutapata endapo hatuta kuwepo kwenye Jumuiya ya Madola?

4. Tukipima katika mizani faida na hasara za Jumuiya ya Madola kwetu, kipi kitakuwa ni bora kwetu? Tanzania kuendelea kuwepo katika jumuiya ya madola au tujitoe na kuendeleza maisha yetu ya kawaida kama Taifa nje ya Jumuiya ya Madola?

5. Kwa nini taifa la USA na Hongkong (China) hayapo Jumuiya ya Madola?

6. Je, inawezekana kwa njia ya amani member wa Jumuiya ya Madola akitaka kutoka naye akaruhusiwa kufanya hivyo?
View attachment 2353028
N.b: Karibuni wadau mwenye swali pia anaweza kuongeza swali lake.
Ambao hawapo jumuiya ya madola,wanajiweza,sie choka mbaya,tunategemea misaada hatuwezi kujilisha,lazima tuendelee kulamba miguu ya wazungu
 
Maswali gani ambayo huwezi kuyajengea hoja? Nikushauri tu, weka positive na negative impacts za kujitoa au kutojitoa tuchangie. Hili la maswali yako ya hovyo hupati kitu na Tanzania itaendelea kuwa mwanachama. Mark my word fella!
Maswali siyo ovyo, labda wewe msomaji ndiyo hukuelewa na hivyo kuyaita maswali ovyo.
 
Back
Top Bottom