DENG XIAOPING
JF-Expert Member
- Mar 6, 2022
- 2,396
- 2,598
- Thread starter
-
- #61
Sawa mkuu. Lakini siku nyingine jitahidi kusoma kilicho andikwa na wewe ujikite humo [ kwa maswali & majibu ] sio kujitungia chako .Maswali gani ambayo huwezi kuyajengea hoja? Nikushauri tu, weka positive na negative impacts za kujitoa au kutojitoa tuchangie. Hili la maswali yako ya hovyo hupati kitu na Tanzania itaendelea kuwa mwanachama. Mark my word fella!
Sawa.jumuiya ya madola ni muungano wa nchi zilizotawaliwa na muingereza.
Tanzania ni moja wapo.
Sijajua hasara na faida zake .
Acha kujifanya you're roo scholarly. Ulichoandika is a crap. Full stop!!!Sawa mkuu. Lakini siku nyingine jitahidi kusoma kilicho andikwa na wewe ujikite humo [ kwa maswali & majibu ] sio kujitungia chako .
Sawa umeeleweka, Karibu kwa majibu ya maswali niliyo uliza.Acha kujifanya you're roo scholarly. Ulichoandika is a crap. Full stop!!!
Nafikiri sababu yake kubwa ni kwa sababu serikali imeweka maombolezo ya siku 5 na yeye hataki/anapingaHoja yako wewe ni Tanzania kujitoa, lakini hujatwambia faida lukuki tutakazozipata kwa kujitoa na hasara kibao tunayoipata kwa kuwa kwenye Jumuiya ya Madola. Ebu weka hoja yako vizuri tuone tunachangiaje.
Mwanzoni mwa thread yangu ndio nimeandika hivyo ?Nafikiri sababu yake kubwa ni kwa sababu serikali imeweka maombolezo ya siku 5 na yeye hataki/anapinga
Ahahahahah! Pole yake. Na nafikiri hajajiuliza kwanini Rwanda ambayo haikutawaliwa na Uingereza ilibembeleza kuwemo kwenye Jumuiya.Nafikiri sababu yake kubwa ni kwa sababu serikali imeweka maombolezo ya siku 5 na yeye hataki/anapinga
Sawa.Sio kujitoa tudai kwanza chetu wametunyonya Sana hawa
Hajaandika hayo, ila hiyo sababu ya wewe kuja na jambo hili. Mbona hujauliza kuhusu EAC?Mwanzoni mwa thread yangu ndio nimeandika hivyo ?
Kwani thread nzima na maswali yangu yana zungumzia nini EAC au Jumuiya ya madola ?Hajaandika hayo, ila hiyo sababu ya wewe kuja na jambo hili. Mbona hujauliza kuhusu EAC?
Umesoma lakini kilichoandikwa ? Ni mada ya kujadili au ni maswali yenye kuhitaji majawabu kutoka kwa wana jamii ?Huna hoja, ulitakiwa utwambie hasara za kuwepo kwenye jumuiya ya madola ndio tujadili kama inafaa tutoke au la.
Kwa ulivyoandika naona hauna kabisa hoja ni kutaka tu kutupotezea muda. Tuendelee kuwemo kwenye jumuiya ya madola.
Hapana.Tujitoe jumuia ya madola halafu Tujunge francophone?
Laana ipi?Kujitoa jumuuya ya madola ni kujitakia laana
Ambao hawapo jumuiya ya madola,wanajiweza,sie choka mbaya,tunategemea misaada hatuwezi kujilisha,lazima tuendelee kulamba miguu ya wazungu- Habari za muda huu wana jamii wenzangu, natumai ni njema.
- Nilikuwa na dukuduku kuhusu uwepo wa taifa letu la Tanzania Jumuiya ya Madola, dukuduku langu limezaa maswali kadhaa yenye kuhitaji majawabu kutoka kwenu wana jamii wenzangu.
1. Kwanini Taifa la Tanzania lipo Jumuiya ya Madola?
2. Ni faida zipi tunapata kuhusu uwepo wetu Jumuiya ya Madola?
3. Ni hasara zipi tutapata endapo hatuta kuwepo kwenye Jumuiya ya Madola?
4. Tukipima katika mizani faida na hasara za Jumuiya ya Madola kwetu, kipi kitakuwa ni bora kwetu? Tanzania kuendelea kuwepo katika jumuiya ya madola au tujitoe na kuendeleza maisha yetu ya kawaida kama Taifa nje ya Jumuiya ya Madola?
5. Kwa nini taifa la USA na Hongkong (China) hayapo Jumuiya ya Madola?
6. Je, inawezekana kwa njia ya amani member wa Jumuiya ya Madola akitaka kutoka naye akaruhusiwa kufanya hivyo?
View attachment 2353028
N.b: Karibuni wadau mwenye swali pia anaweza kuongeza swali lake.
Mkuu kuna tofauti kati ya jumuia ulizotaja na Commonwealth.By extrapolation, tujitoe pia kwenye SADC, EAC, na UN kwani huoni faida yoyote ya kuwa mwanachama kwenye jumuia yoyote ya kimataifa.
Aibu gani mkuu?Tanzania ilijotoa Jumuia ya Madola Ian Smith alipotangaza Uhuru,UDI.
It was a disaster. Aibu kubwa ilitufika. Hakuna hata nchi moja ilituiga.
Mkuu kafanye utafiti tena.Tunaanzaje kujitoa wakati wanatudai??
Wakisema je hakuna kujitoa mpaka mlipe madeni yenu yote toka uhuru tutafanyaje hapo??
Maswali siyo ovyo, labda wewe msomaji ndiyo hukuelewa na hivyo kuyaita maswali ovyo.Maswali gani ambayo huwezi kuyajengea hoja? Nikushauri tu, weka positive na negative impacts za kujitoa au kutojitoa tuchangie. Hili la maswali yako ya hovyo hupati kitu na Tanzania itaendelea kuwa mwanachama. Mark my word fella!