Tanzania tujitoe Jumuiya ya Madola

We unaamini tupo huru
 
Kwani thread nzima na maswali yangu yana zungumzia nini EAC au Jumuiya ya madola ?
Jumuiya ya Madola, ndiyo maana nikasema umeamua kuja na thread hii baada ya serikali kuungana na waombolezaji wa kifo cha Malkia na sababu ikiwa ni huo muungano unaoupinga kijanja
 
Sasa kwann wewe usichangie? Au Ina udugu na Khadija kopa
 
Jumuiya ya Madola, ndiyo maana nikasema umeamua kuja na thread hii baada ya serikali kuungana na waombolezaji wa kifo cha Malkia na sababu ikiwa ni huo muungano unaoupinga kijanja
Hapana . dhumuni la thread yangu ni maswali niliyo uliza yenye kuhitaji majawabu ili mimi na wanajamii wote tupate elimu.
 
Kwani tuna tatizo gani na Jumuiya ya Madola au tunapata hasara gani kuwemo kwenye Jumuiya ya Madola?
 
Aliyetutoka angejitutumua. Tuliye naye anatokea sehemu wanaoamini kwamba mdhungu na Mwarabu ndo wenye uwezo wa kutumia rasilimali za Mwafrika ila Mwafrika mwenyewe hawezi kujiendeleza kwa kutumia rasilimali zake.
Mlaumu Baba wa Taifa kwenye hili,Mama Samiah unamwonea.
 
Baada ya Mwingereza kufanya hivyo kwa Nyerere akazaliwa Mwingereza mwingine Chato akapiga marufuku siasa za ushindani na akafanya CHADEMA kuwa adui mkubwa wa Taifa.
 
Hujui kwanini tupo Jumuiya ya Madola, hujui faida tunazozipata Jumuiya ya Madola alafu Unashauri tujitoe? Jitahidi kukifaham kitu kabda hujakihukumia.

Ulitakiwa ufatilie kwanini tupo huko, tunapata faida au hasara na tunapataje ndo Uje u comment. By the way Title na thread yako haviendani
 
This is a leading notion,unachokitaka hukipati maana hakuna la maana uliloliongea.
 
Rubbish , wewe na mazezeta wenzako waliolike hii takataka ulioandika hapa
 

Basi tujiondoe katika jumuiya zote za kimataifa kama ilivyo Switzerland!
Switzerland hawako hata jumuiya moja!!? Duuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…