Nina mambo ya msingi sana yakufanya siwezi kufuatilia nivae rangi gani,Tanzania tuna watu wa ajabu sana,wananchi hawana maji,huduma za afya haziko vizuri,barabara hazipitiki,badala yakuhangaika na mambo ya msingi unahangaika na uvaie rangi gani!Nenda chuo Cha diplomasia Kurasini pengine ukajua ninaongea nini.
Huyu mlalamikaji bila shaka ni masalia ya roho mbaya ya mwendazake.Inaelekea una taarifa za kila jambo mkuu.
Inamaana haukuona alivyokuwa na mwenyeji wake ikulu Mama akipigiwa gobore 21 na kukagua manamba kwa heshima zote?
Huwezijua mwenyeji wake alikua na masahibu gani au ratiba zilikuaje.
Punguza kidogo roho mbaya inayochagiza kisasi...umeenda mbali sana kupanga adhabu bila kujipa muda ujue ukweli wa mambo.
Inamaana kweli serikali wanaweza kuusikiliza huu ushauri wako???
Hilo la Amina na Suluhu nakupa mji.Nafikiri kuna mahusiano ya karibu zaidi kati samia na huyu amina, maannanhata iftar yenyewe alikula na amina na sio uhuru, na hisi kupitia huu uswahiba wa amina na samia uhuru akaona apenyeze sera zake za opportunism.
Lkn pia nalitazama hili ni kama huyu uhuru ametaka wana siasa wamama wa kenya na wao wa enjoy kumpokea mwana mama mwenzao ..najaribu kuhisi lkn sijafikiria bado ..izi ni mahisiyo tu
Tumesikitika au wewe ndio umesikitika?? Acha kutuweka kwenye mambo yako binafsi we TAGATanzania ni nchi kubwa Afrika Mashariki. Kihistoria Tanzania ina heshima kubwa duniani.
Tumesikitika sana Rais wetu Samia Suluhu Hassan na ugeni wake akipokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya badala ya Rais kama mwenyeji wake.
Tukumbuke Rais (mwenyeji) anapokupokea unakuwa na Ulinzi wote wa uhakika. Badala yake SSH alilindwa na walinzi wa Tanzania bila wenyeji.
Kwa nini mama yetu hakupokelewa na Uhuru Airport na badala yake baada ya sisi kulalamika ndipo Kenyatta anajibaraguza kumsindikiza Airport kurudi Dar? Hii ni dharau sana. Je, ni kwa sababu ya jinsia yake? Hatujapenda hii. Tumenyong'onyea sana kwenye ndege.
Naye mwaliko wake mama Mulamula atampokea sherehe za Uhuru iwe 50/50. Ova
#FreedomIsBack
Masalia ya mzee mkurupukaji bado mna nguvu tu za kupambana?Jambo ambalo hulijui ni kwamba linapokuja suala la usalama hasa nchini Kenya kwenye ugaidi. Jua kwamba unapopokelewa na Rais mwenzio unakuwa salama zaidi kiulinzi. Sisi hatukupokelewa na PSU ya Kenya. Tulijitegemea. Vipi lingetokea la kutokea si tiyari CDF Mabeyo angeshafunga mipaka? Naongea kama mtu wa diplomasia. Ulijua kwa nini mama alivaa rangi maruni? Au unadhani ni urembo kwake? Unataka shule?!
Hili genge la wakurupukaji achana nalo. Linakosa cha kukosoa. Hawamini kama dikiteta kashadanja.EeeenHeeee,
Mimi nilidhani unalo la maana la kulalamikia, kumbe ni huo upuuzi?
Mbona kapigiwa mizinga 21, na kahutubia bunge, yote haya hujayataja kama ishara za kutudhalilisha!
Hii ni ishara ya kuwa na "small mind."
Unatoka jasho kwa vitu vidogovidogo unasahau mambo muhimu Rais wako aliyoyatangaza kuiuza nchi yako; ikiwa na wewe pamoja!
Kwa hali ya namna hii tutafika wapi kama taifa!
nimambo yakijinga nakishamba mnomda mwingine watanzania tubadilike, tuache nongwa za kjinga.
sawa kupokolewa alipokelewa na waziri wa mambo ya nje.
wakati wa kuondoka, uhuru kenyatta kamsindikiza mama hadi uwanja wa ndege.
hilo unazungumziaje ndg. mleta mada?.
jipige ngumi nzito kifuani halafu tamka maneno haya: mimi ni mjinga.Jambo ambalo hulijui ni kwamba linapokuja suala la usalama hasa nchini Kenya kwenye ugaidi. Jua kwamba unapopokelewa na Rais mwenzio unakuwa salama zaidi kiulinzi. Sisi hatukupokelewa na PSU ya Kenya. Tulijitegemea. Vipi lingetokea la kutokea si tiyari CDF Mabeyo angeshafunga mipaka? Naongea kama mtu wa diplomasia. Ulijua kwa nini mama alivaa rangi maruni? Au unadhani ni urembo kwake? Unataka shule?!
Hahaha kwa hili hauko sahihi...ni suala la protocol..Mama Samia alipokelewa rasmi Ikulu ambako alikagua gwaride la heshima na nyimbo za taifa kupigwa...Hilo la Jomo Kenyatta international airport achana nalo ni normal procedures kiprotocol..Tanzania ni nchi kubwa Afrika Mashariki. Kihistoria Tanzania ina heshima kubwa duniani.
Tumesikitika sana Rais wetu Samia Suluhu Hassan na ugeni wake akipokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya badala ya Rais kama mwenyeji wake.
Tukumbuke Rais (mwenyeji) anapokupokea unakuwa na Ulinzi wote wa uhakika. Badala yake SSH alilindwa na walinzi wa Tanzania bila wenyeji.
Kwa nini mama yetu hakupokelewa na Uhuru Airport na badala yake baada ya sisi kulalamika ndipo Kenyatta anajibaraguza kumsindikiza Airport kurudi Dar? Hii ni dharau sana. Je, ni kwa sababu ya jinsia yake? Hatujapenda hii. Tumenyong'onyea sana kwenye ndege.
Naye mwaliko wake mama Mulamula atampokea sherehe za Uhuru iwe 50/50. Ova
#FreedomIsBack
Sidhani kama uko sahihi! Kila nchi ina itifaki yake kwenye shughuli za aina hiyo. Kenya itifaki rasmi inaanzia Ikulu na siyo airport. Ndivyo ilivyo kwa nchi nyingi ulimwenguni. UK, USA, RUSSIA na hata CHINA. Tanzania itifaki rasmi inaanzia JKIA.Tanzania ni nchi kubwa Afrika Mashariki. Kihistoria Tanzania ina heshima kubwa duniani.
Tumesikitika sana Rais wetu Samia Suluhu Hassan na ugeni wake akipokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya badala ya Rais kama mwenyeji wake.
Tukumbuke Rais (mwenyeji) anapokupokea unakuwa na Ulinzi wote wa uhakika. Badala yake SSH alilindwa na walinzi wa Tanzania bila wenyeji.
Kwa nini mama yetu hakupokelewa na Uhuru Airport na badala yake baada ya sisi kulalamika ndipo Kenyatta anajibaraguza kumsindikiza Airport kurudi Dar? Hii ni dharau sana. Je, ni kwa sababu ya jinsia yake? Hatujapenda hii. Tumenyong'onyea sana kwenye ndege.
Naye mwaliko wake mama Mulamula atampokea sherehe za Uhuru iwe 50/50. Ova
#FreedomIsBack
Mi sikupenda wakati wa kupiga futari,niliona Mama kakaa na Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nje Kenya,Amina Mohamed,huyu ni jasusi hakutakiwa kuwa karibu na Raisi bila majasusi wetu kuwa karibu,Tanzania ni nchi kubwa Afrika Mashariki. Kihistoria Tanzania ina heshima kubwa duniani.
Tumesikitika sana Rais wetu Samia Suluhu Hassan na ugeni wake akipokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya badala ya Rais kama mwenyeji wake.
Tukumbuke Rais (mwenyeji) anapokupokea unakuwa na Ulinzi wote wa uhakika. Badala yake SSH alilindwa na walinzi wa Tanzania bila wenyeji.
Kwa nini mama yetu hakupokelewa na Uhuru Airport na badala yake baada ya sisi kulalamika ndipo Kenyatta anajibaraguza kumsindikiza Airport kurudi Dar? Hii ni dharau sana. Je, ni kwa sababu ya jinsia yake? Hatujapenda hii. Tumenyong'onyea sana kwenye ndege.
Naye mwaliko wake mama Mulamula atampokea sherehe za Uhuru iwe 50/50. Ova
#FreedomIsBack
Yani wewe ndugu yangu kwenye ziara yote ya Mheshimiwa Rais ulichofanikiwa kuona na kusikia ni hicho tu? Kwa mtaji huo wakenya watazidi kuwekeza na kutajirika nchini na sisi kubaki watazamaji wasioridhika na mchezo siku zote.Tanzania ni nchi kubwa Afrika Mashariki. Kihistoria Tanzania ina heshima kubwa duniani.
Tumesikitika sana Rais wetu Samia Suluhu Hassan na ugeni wake akipokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya badala ya Rais kama mwenyeji wake.
Tukumbuke Rais (mwenyeji) anapokupokea unakuwa na Ulinzi wote wa uhakika. Badala yake SSH alilindwa na walinzi wa Tanzania bila wenyeji.
Kwa nini mama yetu hakupokelewa na Uhuru Airport na badala yake baada ya sisi kulalamika ndipo Kenyatta anajibaraguza kumsindikiza Airport kurudi Dar? Hii ni dharau sana. Je, ni kwa sababu ya jinsia yake? Hatujapenda hii. Tumenyong'onyea sana kwenye ndege.
Naye mwaliko wake mama Mulamula atampokea sherehe za Uhuru iwe 50/50. Ova
#FreedomIsBack
Kwa hiyo kwenye ndege ndio mlikuwa mnajadili hili pekee, badala ya hayo ma-deal mlioingia! Kama ndio hivyo, hayo ma-deal hatujaingizwa mjini kweli?Tanzania ni nchi kubwa Afrika Mashariki. Kihistoria Tanzania ina heshima kubwa duniani.