gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,312
- 3,345
Nina mambo ya msingi sana yakufanya siwezi kufuatilia nivae rangi gani,Tanzania tuna watu wa ajabu sana,wananchi hawana maji,huduma za afya haziko vizuri,barabara hazipitiki,badala yakuhangaika na mambo ya msingi unahangaika na uvaie rangi gani!Nenda chuo Cha diplomasia Kurasini pengine ukajua ninaongea nini.