Tanzania Tumefika Pabaya — Hii sio life tena, this is straight-up madness!

Tanzania Tumefika Pabaya — Hii sio life tena, this is straight-up madness!

Prof_Adventure_guide

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2023
Posts
533
Reaction score
1,499
Wakuu, naomba niseme kwa uchungu. Hii issue ya dada yetu Sharon Mabula imenishtua vibaya sana. Imagine mtu anatekwa, anateswa, halafu mwili wake unachomwa moto just to kill evidence. Bruh, this ain’t normal life, hii ni movie ya horror, and it’s happening right here in our yard.

Hii siyo tu crime ya kawaida, this is political rot, moral decay, na sign kuwa system yetu imeoza vibaya. Kwanini taifa linalojidai stable linashindwa kulinda watoto wake? Damn, kama hatuwezi kulinda wanafunzi, then what’s left to protect?

Soma Pia: Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, auawa Kikatili Baada ya Kutekwa

Najua kuna watu watajaribu kupotezea, but yo, facts don’t lie. We’re living in a country where violence imekuwa daily bread. Hii ni red flag kubwa — na kama hatutapaza sauti sasa hivi, kesho inaweza kuwa mimi, wewe, au ndugu yako.

Jamani, tuache kufumba macho. Hii game imevuka mipaka. Time ya ku-demand justice is now.

#JusticeForSharon ✊🏽
 
Wapo busy kwa campaign, litapita tu kama yanavyopita mengine ila kama ulivyosema, hali ni mbaya sana.

Halafu huko Mbeya kumejaa ukatili sana, tangu tuko wadogo tunasikia matukio ya ajabu sana toka Mbeya.
 
Ndio maana wameweka mkakati wa kumpeleka yule muinjilisti wa Kenya kimkakati ili akapooze injini kupanzia trh 24 mpaka 28
 
Leo katekwa wa ccm kumbe inauma? Japo Hilo tendo ni la kikatili sana lakini tujiulize vipi kama waliopotezewa ndugu zao kama kina mdude wameanza kulipa kisasi?
 
Siasa zimeshikilia kila kitu, jambo lako kama halina manufaa kisiasa basi linabezwa na kupuuzwa.

Ila kama lingekua lina uwezo wa kumgusa mwanasiasa moja kwa moja basi lingeshughulikiwa haraka ili apate sifa.
 
Kuteka wana chadema na kuwauwa ilionekana sawa Sasa zimwi limeamua kula wa nyumbani. Mbeya imepoteza vijana wawili ambao mpaka Leo haijulikani walipo
1. Aliyechora picha ya rais.
2. Mdude

Sasa je haiwezi kuwa mauwaji ya kulipiza kisasi? Na tukumbuke spika wa bunge la mchongo huko ndio kwao lakini alipoulizwa kuhusu utekaji alijibu fyongo sana tena mbele ya kamera! Sasa je vipi kama wameamua kumuonyeshea na kulipa visasi?
 
Priorities za jeshi la polisi na vyombo vya usalama kwa sasa ni kulinda uraisi wa Samia tu.

Huko kwenye jamii kwa sasa kukiwa lawless sio shida zao.

It’s sad, very sad, mpaka Max ambae kazoea mikiki ya uchaguzi safari hii katafuta ziara ya matibabu nje ya nchi ndio ujue hali ni mbaya.

Binafsi naamini maneno ya Max na Polepole waliyozungumza kwa nyakati tofauti ni kundi la watu wachache wasiozidi kumi walioamua kutumia katiba vibaya.

Kingine kwa kuwa ni muumini wa spiritual world (you don’t have to share my beliefs). Hii ni kazi ya higher powers kuwaonyesha watanzania si mlitaka kuona udikteta na matumizi mabaya ya mali za umma get that experience.

Bwana godi adhihakiwi malipo uwa ni hapapapa duniani, watu waliokuwa wanahimiza uwajibikaji wa taasisi za serikali mlikuwa mnawatukana.

Ignorance is bliss, yaani ukiona mtu bado anathubutu kumsema JPM vibaya, chances are dish limeyumba.
 
Yule binti wa chadema humu anaitwa cijui encryption, sijamuona muda ss, profile picture ni ya malala
 
Wakuu, naomba niseme kwa uchungu. Hii issue ya dada yetu Sharon Mabula imenishtua vibaya sana. Imagine mtu anatekwa, anateswa, halafu mwili wake unachomwa moto just to kill evidence. Bruh, this ain’t normal life, hii ni movie ya horror, and it’s happening right here in our yard.

Hii siyo tu crime ya kawaida, this is political rot, moral decay, na sign kuwa system yetu imeoza vibaya. Kwanini taifa linalojidai stable linashindwa kulinda watoto wake? Damn, kama hatuwezi kulinda wanafunzi, then what’s left to protect?

Soma Pia: Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, auawa Kikatili Baada ya Kutekwa

Najua kuna watu watajaribu kupotezea, but yo, facts don’t lie. We’re living in a country where violence imekuwa daily bread. Hii ni red flag kubwa — na kama hatutapaza sauti sasa hivi, kesho inaweza kuwa mimi, wewe, au ndugu yako.

Jamani, tuache kufumba macho. Hii game imevuka mipaka. Time ya ku-demand justice is now.

#JusticeForSharon ✊🏽
Sasa kama Task Force ambayo ni kitengo katika Serikali yetu wanateka kutesa na kuua wapinza kwa nini majambazi nao wasifuate nyayo?
 
Umeandika kwa uchungu sana yaaani poleni wote kwa musiba
 
Back
Top Bottom