Wakuu, naomba niseme kwa uchungu. Hii issue ya dada yetu Sharon Mabula imenishtua vibaya sana. Imagine mtu anatekwa, anateswa, halafu mwili wake unachomwa moto just to kill evidence. Bruh, this ain’t normal life, hii ni movie ya horror, and it’s happening right here in our yard.
Hii siyo tu crime ya kawaida, this is political rot, moral decay, na sign kuwa system yetu imeoza vibaya. Kwanini taifa linalojidai stable linashindwa kulinda watoto wake? Damn, kama hatuwezi kulinda wanafunzi, then what’s left to protect?
Soma Pia: Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, auawa Kikatili Baada ya Kutekwa
Najua kuna watu watajaribu kupotezea, but yo, facts don’t lie. We’re living in a country where violence imekuwa daily bread. Hii ni red flag kubwa — na kama hatutapaza sauti sasa hivi, kesho inaweza kuwa mimi, wewe, au ndugu yako.
Jamani, tuache kufumba macho. Hii game imevuka mipaka. Time ya ku-demand justice is now.
#JusticeForSharon ✊🏽