Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 533
- 1,499
Polisi wapo busy mahakamani kupiiga raia wasiobeba silaha zozote kutaka misifa na majigambo ya yule mvimba macho huku wanashindwa kukamata wauaji km haoHii siyo tu crime ya kawaida, this is political rot, moral decay, na sign kuwa system yetu imeoza vibaya.
Ndio maana wameweka mkakati wa kumpeleka yule muinjilisti wa Kenya kimkakati ili akapooze injini kupanzia trh 24 mpaka 28Wapo busy kwa campaign, litapita tu kama yanavyopita mengine ila kama ulivyosema, hali ni mbaya sana.
Halafu huko Mbeya kumejaa ukatili sana, tangu tuko wadogo tunasikia matukio ya ajabu sana toka Mbeya.
Erythrocyte?Yule binti wa chadema humu anaitwa cijui encryption, sijamuona muda ss, profile picture ni ya malala
MimiTunafumbuaje macho sasa , nani wa kumfunga paka kengele?
Sasa kama Task Force ambayo ni kitengo katika Serikali yetu wanateka kutesa na kuua wapinza kwa nini majambazi nao wasifuate nyayo?Wakuu, naomba niseme kwa uchungu. Hii issue ya dada yetu Sharon Mabula imenishtua vibaya sana. Imagine mtu anatekwa, anateswa, halafu mwili wake unachomwa moto just to kill evidence. Bruh, this ain’t normal life, hii ni movie ya horror, and it’s happening right here in our yard.
Hii siyo tu crime ya kawaida, this is political rot, moral decay, na sign kuwa system yetu imeoza vibaya. Kwanini taifa linalojidai stable linashindwa kulinda watoto wake? Damn, kama hatuwezi kulinda wanafunzi, then what’s left to protect?
Soma Pia: Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, auawa Kikatili Baada ya Kutekwa
Najua kuna watu watajaribu kupotezea, but yo, facts don’t lie. We’re living in a country where violence imekuwa daily bread. Hii ni red flag kubwa — na kama hatutapaza sauti sasa hivi, kesho inaweza kuwa mimi, wewe, au ndugu yako.
Jamani, tuache kufumba macho. Hii game imevuka mipaka. Time ya ku-demand justice is now.
#JusticeForSharon ✊🏽
Ndio ni huyo dada. Ni mashaka sana juu yakeErythrocyte?
Labda mambo ya vpn