Tanzania Tumefika Pabaya — Hii sio life tena, this is straight-up madness!

Mnaposema mzumbe muwe mnasema na kampasi ipi??
 
Ni kweli , Kwahiyo unapendekeza tuhamie nchi gani ambayo haina matukio ya uhalifu?
 
Huyu jiwe ambaye ndiyo mwanzilishi wa udiktea na ulimbukeni wa madaraka, mshenzi sana huyu, aungue zaidi huko aliko. Shetani na nusu huyu.

...aliiba 1.5 trillion za walipa kodi. CAG alipouliza kwa niaba ya watanzania, akamtimua kazi.
.....aliweka ndugu na jamaa zake kwenye serikali. Mfano wapwa zake Dotto James alikuwa paymaster general na Heri James alikuwa mwenyekiti wa uvccm. Teuzi nyeti zote walipewa watu wa Kanda ya ziwa.
....Jiwe ndiye mwanzilishi wa vikundi vya wasiojulikana wanaoteka, kuua na kutesa watu.
....jiwe ndiye mwanzilishi wa kuiba uchaguzi (mind you! Siyo kuiba kura, ni kuiba uchaguzi).

Huyu jiwe ndiye alianzsisha kuaua watu na kuwatunga kwenye viroba Kisha kuwatosa baharini.

Mbwa huyu, Mungu amuongezee adhabu huko aliko.
 
alitekwa siku ya Jumamosi na watu wasiojulikana na wakaanza kuomba kiasi cha pesa kwa baba yake mzazi Dkt. Mabula Mahande, ili wamuachie huru huku wakimtumia video fupi wakimuonyesha wanavyomtesa,
Duh,
Inawezekana hao wauaji ni wezi waliotaka kutumia mbinu hiyo haramu kujipatia pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…