Tanzania tumeingiliwa, kuna magaidi kutoka nje ya nchi

Kakende

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2012
Posts
2,741
Reaction score
1,232
Kuna taarifa kuwa kuna watu wanaotokea middle east (waarab) wako Tanzania wakifanya biashara lakini kazi yao kubwa ni kuhakikisha Tanzania inavurugika, wanataka Tanzania iwe nchi ya kiislam. Wanatumia watu wenye imani kali kutekeleza matakwa yao. Wamekuwa wakifadhili shughuli za mihadhara nchi nzima na vikao mbalimbali vya kupanga mikakati kama ilivyokuwa Diamond jubilee.

Jamii hii ya Waarabu ndiyo waliovuruga Nigeria (boko haram), Mali, wanasaidia al shaabab Somalia nk. Waarab hao kwa sasa wanapatikana sana maeneo ya Kariakoo Dar, Zanzibar na baadhi wachache sasa wameanza kuingia Mwanza. Kundi ili la waarabu lina pesa lakini linaungwa mkono na serikali zao. Mfano Boko haram inapewa msaada na Serikali ya ALGERIA

Kwa taarifa rasmi zilizopatikana. Watanzania wanaotumiwa na wageni ni. No:1 Ni Shekhe Fareed wa Zamzibar (Pia ana mawasiliano na Al shaabab),No. 2 Shekhe Ponda (Pia ana mahusiano na Al queda), No.3 Ustaadh Ilunga, No.4Shekhe Ally Basaleh. Pia kuna waadhili wa Chuo kikuu cha waislam Morogoro nao wanatumiwa.

Ushauri wangu kwa watanzania. Hawa waarabu na wazungu wanatuona kama nyani, ukitaka kuamini nenda ukaishi kwenye nchi zao. Hata ikiwa wewe ni mwislam mwenzao watakubagua.

Serikali kuwa makini sana na ili kundi ambalo halipendi kuona watu wanafurahia utulivu duniani

Wengi mtabeza lakini hali iko hivyo
 
Mkuu kama unaushahidi na hicho ulichokisema basi usiishie kuandika humu jf nenda katoe taarifa kwenye vyombo vya usalama itasaidia sana,u will be named as raia mwema wa taifa hili.
 
Tumekatishwa tamaa na Serikali, Maaskofu walitoa viashiria serikalini na padre akauawa lakini hawakusikilizwa, hata mimi siendi kutoa taarifa, wasome humu humu jf
 
kwa kuwa afande kova anapitia humu, msg itakuwa imemfikia.
 
Kuna taarifa kuwa kuna watu wanaotokea middle east (waarab) wako Tanzania wakifanya biashara lakini kazi yao kubwa ni kuhakikisha Tanzania inavurugika, wanataka Tanzania iwe nchi ya kiislam. Wanatumia watu wenye imani kali kutekeleza matakwa yao. Wamekuwa wakifadhili shughuli za mihadhara nchi nzima na vikao mbalimbali vya kupanga mikakati kama ilivyokuwa Diamond jubilee.

Jamii hii ya Waarabu ndiyo waliovuruga Nigeria (boko haram), Mali, wanasaidia al shaabab Somalia nk. Waarab hao kwa sasa wanapatikana sana maeneo ya Kariakoo Dar, Zanzibar na baadhi wachache sasa wameanza kuingia Mwanza. Kundi ili la waarabu lina pesa lakini linaungwa mkono na serikali zao. Mfano Boko haram inapewa msaada na Serikali ya ALGERIA

Ushauri wangu kwa watanzania. Hawa waarabu na wazungu wanatuona kama nyani, ukitaka kuamini nenda ukaishi kwenye nchi zao. Hata ikiwa wewe ni mwislam mwenzao watakubagua.

Serikali kuwa makini sana na ili kundi ambalo halipendi kuona watu wanafurahia utulivu duniani

Wengi mtabeza lakini hali iko hivyo

Mmmh, eti Waarabu na Wazungu? Tanzania ni Kisiwa cha amani bwana! Geneva ya Afrika.
 
Mkuu kama unaushahidi na hicho ulichokisema basi usiishie kuandika humu jf nenda katoe taarifa kwenye vyombo vya usalama itasaidia sana,u will be named as raia mwema wa taifa hili.

Khee! Aende akatoe taarifa? Kwa wanausalama hawa waTanzania ambao hawana siri? Nadhani humtakii mema mwenzako, maana ataishia kutangazwa bureee na hivyo kuhatarisha usalama wake.

Namshauri asijaribu kabisa. Aache INTELIJENSIA ifanye kazi.
 
Tumekatishwa tamaa na Serikali, Maaskofu walitoa viashiria serikalini na padre akauawa lakini hawakusikilizwa, hata mimi siendi kutoa taarifa, wasome humu humu jf

Kweli mkuu, ushahidi hata uwe na ukweli 100% ni kazi bure kwa hii nchi. Inachotakiwa ni wakristo kujilinda hasa makanisani. UNGOZI WA NCHI NI MAJANGA TU
 
kwa nini wananchi tusichukuwe jukumu la kulinda nchi wenyewe.....mimi nasema......nikimuona mtu mtaani kwangu simuelewi elewi nashitaki.....mtaa mzima tunafahamiana.......huyo mgeni atakaekuja bila kujulikana anaishi wapi na nani huyo ninae......potelea mbali.......acha niitwe mmbeya..........
 
Mkuu kama unaushahidi na hicho ulichokisema basi usiishie kuandika humu jf nenda katoe taarifa kwenye vyombo vya usalama itasaidia sana,u will be named as raia mwema wa taifa hili.
Vyombo vya Usalama hususan rais ni sehemu ya kundi hilo.
 
Hakuna gaidi wa kutoka nje. Afate nini? Magaidi mnawatengeneza wenyewe humu ndani.
 
Mkuu kama unaushahidi na hicho ulichokisema basi usiishie kuandika humu jf nenda katoe taarifa kwenye vyombo vya usalama itasaidia sana,u will be named as raia mwema wa taifa hili.

Tanzania ukitoa taarifa polis wewe ndio unakua mtuhumiwa.

Mbaya zaidi wanakuita mnoko.!!
 
Mkuu kama unaushahidi na hicho ulichokisema basi usiishie kuandika humu jf nenda katoe taarifa kwenye vyombo vya usalama itasaidia sana,u will be named as raia mwema wa taifa hili.

Policcm na TISSCCM WAPO BIZE HILI FORUM WATAKUA WAMEPATA UJUMBE ILA KWA KUA WAKO BIZE NA CDM HAWAWEZI WAKAFANYA CHOCHOTE.

"ebu angalia users na visitors/guests online wako wangapi? utagundua kua guests wako wengi sana" hao ni tissccm na policcm
 
Hiyo habari hapa Mwanza ilisikika sana 2011 na kweli sura za ajabu ajabu zilikuwa zinaonekana mjini as town ni rahisi kufahamu mgeni
 
kwa nini wananchi tusichukuwe jukumu la kulinda nchi wenyewe.....mimi nasema......nikimuona mtu mtaani kwangu simuelewi elewi nashitaki.....mtaa mzima tunafahamiana.......huyo mgeni atakaekuja bila kujulikana anaishi wapi na nani huyo ninae......potelea mbali.......acha niitwe mmbeya..........

Sasa Preta si unajua haya majamaa yanakuwa yakiendesha mmagari makubwa kam VX halafu full tinted kisha naingia kwenye geti fulani then mlango unafungwa.Huwezi jua hata ni nani kaingia na nini?:redfaces:
 
Ktk mtanzania ambaye ni mzalendo ww mtoa mada upo correct. Maana manazagaa wageni nchi hii kama yao? Uhamiaji tz poor
 
Vyombo vya Usalama hususan rais ni sehemu ya kundi hilo.

we mimibaba we utabadilishwa dental formula wewe haya tu!ushawahi kusikia dental formula yenye meno mawili tu?halafu wakati wanairekebisha huwa nasikia eti zile waya za umeme za kustulia masaburi ndio wanazigusisha kwenye fizi kukupa ganzi,new tekinoloji,kitu dijitalii yaani hata husikii maumivu hadi ubongo unashikwa na ganzi!
 
Kuna taarifa kuwa kuna watu wanaotokea middle east (waarab) wako Tanzania wakifanya biashara lakini kazi yao kubwa ni kuhakikisha Tanzania inavurugika, wanataka Tanzania iwe nchi ya kiislam. Wanatumia watu wenye imani kali kutekeleza matakwa yao. Wamekuwa wakifadhili shughuli za mihadhara nchi nzima na vikao mbalimbali vya kupanga mikakati kama ilivyokuwa Diamond jubilee.

Jamii hii ya Waarabu ndiyo waliovuruga Nigeria (boko haram), Mali, wanasaidia al shaabab Somalia nk. Waarab hao kwa sasa wanapatikana sana maeneo ya Kariakoo Dar, Zanzibar na baadhi wachache sasa wameanza kuingia Mwanza. Kundi ili la waarabu lina pesa lakini linaungwa mkono na serikali zao. Mfano Boko haram inapewa msaada na Serikali ya ALGERIA

Ushauri wangu kwa watanzania. Hawa waarabu na wazungu wanatuona kama nyani, ukitaka kuamini nenda ukaishi kwenye nchi zao. Hata ikiwa wewe ni mwislam mwenzao watakubagua.

Serikali kuwa makini sana na ili kundi ambalo halipendi kuona watu wanafurahia utulivu duniani

Wengi mtabeza lakini hali iko hivyo

Vyombo vya Usalama gani unaousema????
 
we mimibaba we utabadilishwa dental formula wewe haya tu!ushawahi kusikia dental formula yenye meno mawili tu?halafu wakati wanairekebisha huwa nasikia eti zile waya za umeme za kustulia masaburi ndio wanazigusisha kwenye fizi kukupa ganzi,new tekinoloji,kitu dijitalii yaani hata husikii maumivu hadi ubongo unashikwa na ganzi!
Mbona mimi ni mwenzao, usiwe na hofu ukweli utakuweka huru
 
Back
Top Bottom