Tanzania tumeingiliwa, kuna magaidi kutoka nje ya nchi

Tanzania tumeingiliwa, kuna magaidi kutoka nje ya nchi

Hizi taarifa zinafamika siku nyingi sana hata TISS Na vyombo vingine vya usalama wana taarifa. Sasa jiulize mwenyewe kwa nini hawachukui hatua. Au jiulize kwa nini sheikh ponda ameachiwa bili mashitaka ya uchochezi Au ugaidi.
Jibu rahisi vyombo vya usalama viko busy Na siasa
 
kwa nini wananchi tusichukuwe jukumu la kulinda nchi wenyewe.....mimi nasema......nikimuona mtu mtaani kwangu simuelewi elewi nashitaki.....mtaa mzima tunafahamiana.......huyo mgeni atakaekuja bila kujulikana anaishi wapi na nani huyo ninae......potelea mbali.......acha niitwe mmbeya..........

Safi sana dadaangu, jiiimarisheni kimitaa, toeni taarifa, sahihi wakati muafaka, tutaepusha mengi
 
kwa nini wananchi tusichukuwe jukumu la kulinda nchi wenyewe.....mimi nasema......nikimuona mtu mtaani kwangu simuelewi elewi nashitaki.....mtaa mzima tunafahamiana.......huyo mgeni atakaekuja bila kujulikana anaishi wapi na nani huyo ninae......potelea mbali.......acha niitwe mmbeya..........
Zamani ndivyo ilivyokuwa na tulifanikiwa sana kujilinda dhidi ya kaburu.
Tofauti siku hizi NDUgu zetu wengine wana Chuki za kidini hivyo wanafurahia uwepo Wa magaidi na wanatamani yanayotokea Nigeria yatokee Tanzania .

Serikali ingetumia mbinu za Mrema za tajirika na Mrema najua wengi wangetoa taarifa wakijua Si tu wanaokoa maisha Bali pia kuna mshiko.

Wakae wakijua Kuwa udini hautalipa na Tanzania hata iweje Kamwe haiwezi Kuwa nchi ya dini moja.

Kamwe huwezi mbadili mtu dini kwa kuua wengine na ni dini gani inahubiri mauaji?

Hao Sio waisilamu Bali ni washenzi wachache wasio na akili timamu wanataka kutuvuruga kwa kutumia baadhi ya NDUgu zetu wasio na uwezo kifedha kwa kuwaahidi upumbavu. Yule alielipua bomu inawezekana alitumwa akajilipue NAyo lakini aka ogopa kufa akarusha moja ndio maana alikutwa na mengine, lakini kesho watapata taahira mwenye Chuki watambrainwash atajilipua na kuua wengi.

Nawaomba NDUgu Zangu wapenda Armani, ukiona mtu haeleweki riport polisi. Magaidi kazi Yao ni kutuma watu wauane huku wakifurahia. Tumeishi kwa Armani miaka yote na tumechanganyikana sana mimi ni Mkristo lakini asilinia 80% ya NDUgu Zangu na marafiki ni waisilamu na Hatuna Chuki kati yetu. Iweje Leo tukubali wapumbavu Fulani watuchonganishe?

Kamwe huwezi kumaliza ukristo au uislamu nchini hata Kama ukipiga bomu la nuklia labda dunia iishe halafu iumbwe nyingine uitakayo.

Ewe mchochezi/mdini/shetani/gaidi wasiliana na Mungu ai- format upya dunia ili waje viumbe Wa dini uitakayo Kwani huwezi kuua na kumaliza dini moja hata iwe ndogo vipi Kama vile Baha'i ambayo imesurvive Iran mpaka leo

Mungu ibariki Tanzania
 
kwa nini wananchi tusichukuwe jukumu la kulinda nchi wenyewe.....mimi nasema......nikimuona mtu mtaani kwangu simuelewi elewi nashitaki.....mtaa mzima tunafahamiana.......huyo mgeni atakaekuja bila kujulikana anaishi wapi na nani huyo ninae......potelea mbali.......acha niitwe mmbeya..........
Preta, nice move, unaweza kufanya hivyo kila unapohisi mtu ambae haeleweki nyendo, zake, fikisha haya kwa wakubwa kama unaona hupati ushirikiano wa kutosha huko chini, yatachunguzwa na kufanyiwa kazi tu..
 
Kakende aka Kabusha, Tuhuma ulizozitoa ni kubwa sana, zinachuki nyingi dhidi ya Mataifa ya Kiislam na Waislam, Nakushauri ufanye utafiti wa kutosha kabla ya kuhukumu Mkuu... Waarabu ni watu wenye kupenda Starehe sana, hawana muda wa kuhangaika na Rasilimali zenu, Hawana matamanio ya kidunia kama ilivyo kwa mtaifa mengi ya ulaya! Bila ya kupoteza mantiki naomba uingie ndani zaidi uchunguze makundi unayoyaita ya kiislam yanafadhiliwa na nani...Al Qaeda, Al Shabab, Boko Haram na hata M23! ...Bila ya kumung'unya maneno haya yote ni mashines propaganda za CIA:-wao wanachokifanya ni kuingiza destructions pale inapohitajika, mfano mzuri ni jinsi ambavyo Al Shabab ilivyofanikiwa mwanzoni kuzuia biashara kati ya mashariki ya mbali China na East and Central Africa! Al shabab walisaidia sana silaha nzito nzito kusafirishwa na kupelekwa sudan ya kusini mpaka Omary Albashir aliporidhia nchi yake kugawanywa...
Boko Haram wanasaidia Wanigeria kutengana huku mafuta yao yakipelekwa Ulaya na Marekani kila siku...
Huko mali Waasi wa Kiislam wanasaidia sasa usafirishaji wa Dhahabu nyingi iliyogundulika recently, hata Resolute wanafunga mgodi wao nzega na kuhamia mali kwenye vita! Bado hushangai wala hujiulizi kulikoni?... in short CIA ndio wanaoratibu ugaidi wote unaotokea katika nchi masikini zenye Rasilimali nyingi na zile zenye mafuta mengi ...Hivi ni vita vya kutafuta Rasilimali zaidi ILA sis waafrica tunavichukulia kama vita vya kidini...
 
Kuna taarifa kuwa kuna watu wanaotokea middle east (waarab) wako Tanzania wakifanya biashara lakini kazi yao kubwa ni kuhakikisha Tanzania inavurugika, wanataka Tanzania iwe nchi ya kiislam. Wanatumia watu wenye imani kali kutekeleza matakwa yao. Wamekuwa wakifadhili shughuli za mihadhara nchi nzima na vikao mbalimbali vya kupanga mikakati kama ilivyokuwa Diamond jubilee.

Jamii hii ya Waarabu ndiyo waliovuruga Nigeria (boko haram), Mali, wanasaidia al shaabab Somalia nk. Waarab hao kwa sasa wanapatikana sana maeneo ya Kariakoo Dar, Zanzibar na baadhi wachache sasa wameanza kuingia Mwanza. Kundi ili la waarabu lina pesa lakini linaungwa mkono na serikali zao. Mfano Boko haram inapewa msaada na Serikali ya ALGERIA

Ushauri wangu kwa watanzania. Hawa waarabu na wazungu wanatuona kama nyani, ukitaka kuamini nenda ukaishi kwenye nchi zao. Hata ikiwa wewe ni mwislam mwenzao watakubagua.

Serikali kuwa makini sana na ili kundi ambalo halipendi kuona watu wanafurahia utulivu duniani

Wengi mtabeza lakini hali iko hivyo

Mkuu hoja hii ni nzito na ina ushahidi kabisa namimi nimekwisha kutoa taarifa ya kimaandishi serikalini kwa ushaidi kabisa nasubiri kuona hatua zitakazo chukuliwa.
Nahidi wakiwa kimya natoa hadharani na ushahidi na majina yao humu JF.
Niungeni mkono kwa usalama wa nchi yetu.
 
Ndugu yangu Serikali inamikono mirefu...Jaribu kuwa mstaarabu Jenga hoja badala ya kutoa tuhuma bila ya kupima madhara yake...
Ahsaante kwa kunitisha, lakini sitishiki nitasema kweli daima
 
kwa nini wananchi tusichukuwe jukumu la kulinda nchi wenyewe.....mimi nasema......nikimuona mtu mtaani kwangu simuelewi elewi nashitaki.....mtaa mzima tunafahamiana.......huyo mgeni atakaekuja bila kujulikana anaishi wapi na nani huyo ninae......potelea mbali.......acha niitwe mmbeya..........

Zamani ilikuwa inawezekana sana, Jamii ilikuwa moja, haikujalisha mtu anafuata dini gani ama imani gani...Sasa hivi nina mashaka sana kama itawezekana kwani kumuadhibu mtoto wa mtu hatakama kweli amefanya kosa inaweza ikakusababishia kupoteza uhai wako!!! Hali ikiendelea hivi sijui itakuwa vipi pale watu wa familia moja zenye wakristo na Waislam...
Tunaelekea kubaya sana Watanzania, Judgement zinazotolewa humu ndani zimejaa udini unaopitiliza bila hata ya kufanya utafiti wa kina!!! Wiki iliyopita eti Mahakama Kuu ya Kenya imewahukumu Wairan wawili Kifungo cha maisha Jela! Taarifa za uhakika ni kuwa wale ni CIA, Mpaka sasa haijulikani wako gereza gani... BTW Kwanini Waisrael wamemua NYAGA MAWALLA kisha wakamrusha ghorofani?...
 
mi napita tu ila Tujiulize maswali ya msingi kwanza:-
1.Gaidi ni nani?
2anafanya nini?
3.ana alama gani? au tunamtambuaje?
 
Kakende aka Kabusha, Tuhuma ulizozitoa ni kubwa sana, zinachuki nyingi dhidi ya Mataifa ya Kiislam na Waislam, Nakushauri ufanye utafiti wa kutosha kabla ya kuhukumu Mkuu... Waarabu ni watu wenye kupenda Starehe sana, hawana muda wa kuhangaika na Rasilimali zenu, Hawana matamanio ya kidunia kama ilivyo kwa mtaifa mengi ya ulaya! Bila ya kupoteza mantiki naomba uingie ndani zaidi uchunguze makundi unayoyaita ya kiislam yanafadhiliwa na nani...Al Qaeda, Al Shabab, Boko Haram na hata M23! ...Bila ya kumung'unya maneno haya yote ni mashines propaganda za CIA:-wao wanachokifanya ni kuingiza destructions pale inapohitajika, mfano mzuri ni jinsi ambavyo Al Shabab ilivyofanikiwa mwanzoni kuzuia biashara kati ya mashariki ya mbali China na East and Central Africa! Al shabab walisaidia sana silaha nzito nzito kusafirishwa na kupelekwa sudan ya kusini mpaka Omary Albashir aliporidhia nchi yake kugawanywa...
Boko Haram wanasaidia Wanigeria kutengana huku mafuta yao yakipelekwa Ulaya na Marekani kila siku...
Huko mali Waasi wa Kiislam wanasaidia sasa usafirishaji wa Dhahabu nyingi iliyogundulika recently, hata Resolute wanafunga mgodi wao nzega na kuhamia mali kwenye vita! Bado hushangai wala hujiulizi kulikoni?... in short CIA ndio wanaoratibu ugaidi wote unaotokea katika nchi masikini zenye Rasilimali nyingi na zile zenye mafuta mengi ...Hivi ni vita vya kutafuta Rasilimali zaidi ILA sis waafrica tunavichukulia kama vita vya kidini...

Ilboru 1995, achana na stori za vijiwe, hizi taarifa za watanzania kutumiwa na waarabu ni upelelezi unaoendelea. Mpaka sasa kuna ushahidi usio na wasiwasi. Mpaka sasa iko orodha kubwa ya watanzania wanaotumiwa na waarabu kuchafua nchi. Namba 1 ni. Shekhe Farid, Shekhe Ponda, Shekhe Ilunga, Shekhe Ally Basaleh
 
Sasa Preta si unajua haya majamaa yanakuwa yakiendesha mmagari makubwa kam VX halafu full tinted kisha naingia kwenye geti fulani then mlango unafungwa.Huwezi jua hata ni nani kaingia na nini?:redfaces:
Kwa usalama magari tinted yapigwe marufuku
 
Watanzania tumepoteza muelekeo wetu wa kizalendo,enzi zile tunasoma tulikuwa wazalendo kweli,tukikimbia mchakamchaka asubuhi tunaimba kaburu matata chinja,idd amin akija nitamtupa baharini awe chakula cha mamba nkleo hii tumekuwa watumwa kwenye nchi yetu,nachukia kweli kuitwa mtanzania,hakika nchi hii ingekuwa kifodi(hiace)ningeshuka nipande nyingine.
 
Ilboru 1995, achana na stori za vijiwe, hizi taarifa za watanzania kutumiwa na waarabu ni upelelezi unaoendelea. Mpaka sasa kuna ushahidi usio na wasiwasi. Mpaka sasa iko orodha kubwa ya watanzania wanaotumiwa na waarabu kuchafua nchi. Namba 1 ni. Shekhe Farid, Shekhe Ponda, Shekhe Ilunga, Shekhe Ally Basaleh
Nchi ipi ya Kiarabu?... Labda hao unaowataja wanatumiwa na CIA, nalo pia mimi nitalipinga maana madai yao yote yanamashiko! Sheikh Ilunga ndo sijapata fursa ya kusikiliza hoja zake LAKINI Farid yeye ameweka wazi sana msimamo wa kundi lake kuwa wanataka Zanzibar ipewe hadhi wanayostahili wazanzibar! Imagine hata mapato ya Benki Kuu ni juzi kati ndo wameanza kupata gawiwo!...
PONDA yeye msimamo wake uko wazi kuwa Serikali inawalazimishia Waislam wa Tanzania BAKWATA! Baraza la Mitihani ilikiri kuwa kulikuwa na Tatizo kwenye kikokotozi jambo lililopelekea wanafunzi wa kiislam kufelishwa eti kwa bahati mbaya...

Hivi yale mauaji ya Libya, Iraq, Iran, north Korea, Japan, Somalia, Sudan, Congo DRC, Balozi za USA Nairobi na DAR 1998 bila afisa hata mmoja wa US kudhurika! Mauaji yanayoendelea Syria kwako ni sawa kwakuwa wanaouawa si binadamu bali ni Waislam?... Nina kila sababu ya kuamini kuwa Mataifa ya magharibi yako nyuma ya huu ugaidi unaoendelea...Mark my word Mkuu...
 
Kuna taarifa kuwa kuna watu wanaotokea middle east (waarab) wako Tanzania wakifanya biashara lakini kazi yao kubwa ni kuhakikisha Tanzania inavurugika, wanataka Tanzania iwe nchi ya kiislam. Wanatumia watu wenye imani kali kutekeleza matakwa yao. Wamekuwa wakifadhili shughuli za mihadhara nchi nzima na vikao mbalimbali vya kupanga mikakati kama ilivyokuwa Diamond jubilee.

Jamii hii ya Waarabu ndiyo waliovuruga Nigeria (boko haram), Mali, wanasaidia al shaabab Somalia nk. Waarab hao kwa sasa wanapatikana sana maeneo ya Kariakoo Dar, Zanzibar na baadhi wachache sasa wameanza kuingia Mwanza. Kundi ili la waarabu lina pesa lakini linaungwa mkono na serikali zao. Mfano Boko haram inapewa msaada na Serikali ya ALGERIA

Kwa taarifa rasmi zilizopatikana. Watanzania wanaotumiwa na wageni ni. No:1 Ni Shekhe Fareed wa Zamzibar (Pia ana mawasiliano na Al shaabab),No. 2 Shekhe Ponda (Pia ana mahusiano na Al queda), No.3 Ustaadh Ilunga, No.4Shekhe Ally Basaleh. Pia kuna waadhili wa Chuo kikuu cha waislam Morogoro nao wanatumiwa.

Ushauri wangu kwa watanzania. Hawa waarabu na wazungu wanatuona kama nyani, ukitaka kuamini nenda ukaishi kwenye nchi zao. Hata ikiwa wewe ni mwislam mwenzao watakubagua.

Serikali kuwa makini sana na ili kundi ambalo halipendi kuona watu wanafurahia utulivu duniani

Wengi mtabeza lakini hali iko hivyo

Huu ndo uchochezi tunaousema. Kama kweli wewe ni mzalendo, kimbia haraka police ukatoe taarifa. Otherwise utakuwa ni walewale.
 
Back
Top Bottom