Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poor mind...poor thinking capacity...Kuna taarifa kuwa kuna watu wanaotokea middle east (waarab) wako Tanzania wakifanya biashara lakini kazi yao kubwa ni kuhakikisha Tanzania inavurugika, wanataka Tanzania iwe nchi ya kiislam. Wanatumia watu wenye imani kali kutekeleza matakwa yao. Wamekuwa wakifadhili shughuli za mihadhara nchi nzima na vikao mbalimbali vya kupanga mikakati kama ilivyokuwa Diamond jubilee.
Jamii hii ya Waarabu ndiyo waliovuruga Nigeria (boko haram), Mali, wanasaidia al shaabab Somalia nk. Waarab hao kwa sasa wanapatikana sana maeneo ya Kariakoo Dar, Zanzibar na baadhi wachache sasa wameanza kuingia Mwanza. Kundi ili la waarabu lina pesa lakini linaungwa mkono na serikali zao. Mfano Boko haram inapewa msaada na Serikali ya ALGERIA
Kwa taarifa rasmi zilizopatikana. Watanzania wanaotumiwa na wageni ni. No:1 Ni Shekhe Fareed wa Zamzibar (Pia ana mawasiliano na Al shaabab),No. 2 Shekhe Ponda (Pia ana mahusiano na Al queda), No.3 Ustaadh Ilunga, No.4Shekhe Ally Basaleh. Pia kuna waadhili wa Chuo kikuu cha waislam Morogoro nao wanatumiwa.
Ushauri wangu kwa watanzania. Hawa waarabu na wazungu wanatuona kama nyani, ukitaka kuamini nenda ukaishi kwenye nchi zao. Hata ikiwa wewe ni mwislam mwenzao watakubagua.
Serikali kuwa makini sana na ili kundi ambalo halipendi kuona watu wanafurahia utulivu duniani
Wengi mtabeza lakini hali iko hivyo
Ilboru 1995, achana na stori za vijiwe, hizi taarifa za watanzania kutumiwa na waarabu ni upelelezi unaoendelea. Mpaka sasa kuna ushahidi usio na wasiwasi. Mpaka sasa iko orodha kubwa ya watanzania wanaotumiwa na waarabu kuchafua nchi. Namba 1 ni. Shekhe Farid, Shekhe Ponda, Shekhe Ilunga, Shekhe Ally Basaleh
Kaka umeongea kweli. Nazani kuna wanausalama wanaokomaa na mitandao kama hii na kupata habari kama hizi. Kama watapuuzia imekula kwetu. Nashangaa sana wananchi tukisema kitu kwamba kuna hili au lile polisi watatuambia tupeleke malalamiko kwao kweli hali hii kuna mtu anaweza kwenda? Inabidi wasidharau hata chembe ya taarifa wanazopata au kusikia hata kama ni vijiweni.Kila raia wa Tz ni mlinzi wa usalama wa nchi hii, kutokana na katiba yetu. Hivyo tuzidi kutoa maelezo mbalimbali tunayosikia huku tulipoMungu ibariki Tanzania.Khee! Aende akatoe taarifa? Kwa wanausalama hawa waTanzania ambao hawana siri? Nadhani humtakii mema mwenzako, maana ataishia kutangazwa bureee na hivyo kuhatarisha usalama wake.Namshauri asijaribu kabisa. Aache INTELIJENSIA ifanye kazi.
uzi wako ndo umekutukana.......tupo kwenye cold war ya kuelekea WORLD WAR 3.....ni kitu gani ambacho kinaweza kutupiganisha dunia nzima kama vita kuu ya kwanza na ya pili? Jibu ni DINI pekee ndo inaweza kufanya vita kuwa Universal..sasa basi wakaona dini za kutumia kwenye mpango huu ni zile zenye wafuasi wengi duniani ambazo ni Islam na Christian..kwamba wakifanikisha kugombanisha then the whole world will turn into chaos....hapo vita kuu ya tatu ya dunia itakuwa imekamilika.....umewahi kujiuluza mbona dini kama ya Hindu,Budha...mbona hazipo kwenye system za kukwazana kama Islam and Christian?nimetumia neno lile sababu nilijua hujui hata unachokiandika...muombe mungu akufunue kwenye hilo.Hakuna tatizo, niliwahi weka uzi unaoonesha kuwa waislam wanaandaa shambulio kubwa kama ilivyo Arusha lakini nikatukanwa kama ulivyonitukana
Good day Mkuu,Mheshimiwa kakende, Heshima kwa wanajf uzi ulioandika samahani kusema kuwa huja soma historiya na kuelewa mambo mengi yanayohusu kuwepo kwa waarabu na wengineo hapa nchini. Wewe unalenga kundi hili moja "Waarabu " kwa hiyo usichanganye wazungu humo. Hivyo unataka kuwaondoa waarabu peke yao, Basi sawa waondoeni ili muweze kupumzisha roho zenu na kuondoa presha miongoni mwenu. Sikubaliani na tuhuma zote ulizotoa juu ya waarabu, huo ni UONGO na hauna ushahidi wowote kwa hiyo niwieRadhi kukuambia kuwa wewe ni adui wa nchi yako na upungufu wa akili ambazo zinakuletea machafuko moyoni mwako.Kuna taarifa kuwa kuna watu wanaotokea middle east (waarab) wako Tanzania wakifanya biashara lakini kazi yao kubwa ni kuhakikisha Tanzania inavurugika, wanataka Tanzania iwe nchi ya kiislam. Wanatumia watu wenye imani kali kutekeleza matakwa yao. Wamekuwa wakifadhili shughuli za mihadhara nchi nzima na vikao mbalimbali vya kupanga mikakati kama ilivyokuwa Diamond jubilee.
Jamii hii ya Waarabu ndiyo waliovuruga Nigeria (boko haram), Mali, wanasaidia al shaabab Somalia nk. Waarab hao kwa sasa wanapatikana sana maeneo ya Kariakoo Dar, Zanzibar na baadhi wachache sasa wameanza kuingia Mwanza. Kundi ili la waarabu lina pesa lakini linaungwa mkono na serikali zao. Mfano Boko haram inapewa msaada na Serikali ya ALGERIA
Kwa taarifa rasmi zilizopatikana. Watanzania wanaotumiwa na wageni ni. No:1 Ni Shekhe Fareed wa Zamzibar (Pia ana mawasiliano na Al shaabab),No. 2 Shekhe Ponda (Pia ana mahusiano na Al queda), No.3 Ustaadh Ilunga, No.4Shekhe Ally Basaleh. Pia kuna waadhili wa Chuo kikuu cha waislam Morogoro nao wanatumiwa.
Ushauri wangu kwa watanzania. Hawa waarabu na wazungu wanatuona kama nyani, ukitaka kuamini nenda ukaishi kwenye nchi zao. Hata ikiwa wewe ni mwislam mwenzao watakubagua.
Serikali kuwa makini sana na ili kundi ambalo halipendi kuona watu wanafurahia utulivu duniani
Wengi mtabeza lakini hali iko hivyo
Good day Mkuu,Mheshimiwa kakende, Heshima kwa wanajf uzi ulioandika samahani kusema kuwa huja soma historiya na kuelewa mambo mengi yanayohusu kuwepo kwa waarabu na wengineo hapa nchini. Wewe unalenga kundi hili moja "Waarabu " kwa hiyo usichanganye wazungu humo. Hivyo unataka kuwaondoa waarabu peke yao, Basi sawa waondoeni ili muweze kupumzisha roho zenu na kuondoa presha miongoni mwenu. Sikubaliani na tuhuma zote ulizotoa juu ya waarabu, huo ni UONGO na hauna ushahidi wowote kwa hiyo niwieRadhi kukuambia kuwa wewe ni adui wa nchi yako na upungufu wa akili ambazo zinakuletea machafuko moyoni mwako.Ilboru 1995, achana na stori za vijiwe, hizi taarifa za watanzania kutumiwa na waarabu ni upelelezi unaoendelea. Mpaka sasa kuna ushahidi usio na wasiwasi. Mpaka sasa iko orodha kubwa ya watanzania wanaotumiwa na waarabu kuchafua nchi. Namba 1 ni. Shekhe Farid, Shekhe Ponda, Shekhe Ilunga, Shekhe Ally Basaleh
Good day Mkuu,Mheshimiwa kakende, Heshima kwa wanajf uzi ulioandika samahani kusema kuwa huja soma historiya na kuelewa mambo mengi yanayohusu kuwepo kwa waarabu na wengineo hapa nchini. Wewe unalenga kundi hili moja "Waarabu " kwa hiyo usichanganye wazungu humo. Hivyo unataka kuwaondoa waarabu peke yao, Basi sawa waondoeni ili muweze kupumzisha roho zenu na kuondoa presha miongoni mwenu. Sikubaliani na tuhuma zote ulizotoa juu ya waarabu, huo ni UONGO na hauna ushahidi wowote kwa hiyo niwieRadhi kukuambia kuwa wewe ni adui wa nchi yako na upungufu wa akili ambazo zinakuletea machafuko moyoni mwako.Hizi taarifa zinafamika siku nyingi sana hata TISS Na vyombo vingine vya usalama wana taarifa. Sasa jiulize mwenyewe kwa nini hawachukui hatua. Au jiulize kwa nini sheikh ponda ameachiwa bili mashitaka ya uchochezi Au ugaidi.
Jibu rahisi vyombo vya usalama viko busy Na siasa
kwa kuwa afande kova anapitia humu, msg itakuwa imemfikia.
Mmmh, eti Waarabu na Wazungu? Tanzania ni Kisiwa cha amani bwana! Geneva ya Afrika.