Tanzania tumejaaliwa kwa kweli

Tanzania tumejaaliwa kwa kweli

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,074
Reaction score
3,743
MYNER SPARTAN MDADA CELEB WA KIBONGO AMBAYE ANAKIMBIZA KWA UZURI MJINI HAPA NA NI MPENZI WA CELEB MWINGINE WA KIBONGO AITWAYE DULLAH SPARTAN

MUNGU AWAONGOZE KWENYE MAPENZI YAO

11885311_10206584296823947_9149298427174470481_n.jpg
 
​Kapo vizuri kwa matumizi ya dharula, ila kanaonyesha hakafai kuwa mke.
 
Kwanza nilijua ni demu wangu.Nilipoangalia vzur nikagundua kumbe wanafanana tu
 
Hivi maana ya uzuri ni kuvaa nguo zinazobana, kuvaa nguo fupi?
Nadhani Mungu hakutuumba tuwe hivi kama binadamu
 
Duuuh humu tutaletewa mpka picha z mabeki tatu.....sasa huyu nae celeb wa nini au mkeo unamnadi humu
 
Tuanze kwanza kwa dullah spartan ni celebrity wa nini hasaa?? Wabongo bana wakishakuwa na million 15 basi ni celebrity.
 
Zaidi ya hilo lim.k.undu alilojaliwa..hana uzuri wowote.
 
MYNER SPARTAN MDADA CELEB WA KIBONGO AMBAYE ANAKIMBIZA KWA UZURI MJINI HAPA NA NI MPENZI WA CELEB MWINGINE WA KIBONGO AITWAYE DULLAH SPARTAN

MUNGU AWAONGOZE KWENYE MAPENZI YAO

11885311_10206584296823947_9149298427174470481_n.jpg
Mdomo wake na macho vinanipa picha ya mtu mgomvi mpenda kutukana watu!
 
Back
Top Bottom