Tanzania tumekosa mabilioni kwasababu ya tamaa na ubinafsi wa Mama Samia

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Wizi wa kijinga wa kura umeharibu mahusiano ya watanzania wenyewe kwa wenyewe , majirani zetu kama Kenya, nchi za south Africa. Lakini imeharibu mahusiano na wadau wanao tusaidia kwenye afya, barabara, na uwekezaji. Kwasasa mfano hakuna visa tena zinatoka kwa wafanyabiashara wetu kwenda Marekani kwenye mikutano au kwenye lolote! Uwekezaji ni pamoja na uwezo wa kusafiri kirahisi. Lakini Mama sasa anaona wote ni wabaya yeye na machawa tu ni wazuri. Ameweka vita na Watanzania dispora kwasababu si machawa na hawashabikii mauaji maana wanajitambua. Ameweka vita na vyama pinzani vyenye hoja. Ameteka watu wasiokubaliana na wizi wa kura, kuuwa demokrasia na kupigana na rushwa. Sasa hawa wanasiasa na ndugu zao watawekewa vikwazo na Dubai haitawezskana tena kuwa sehemu ya kujificha. Tanzania imeshuka sana kwenye kija sehemu za uwekezaji na diplomasia kwasababu ya taama ya madaraka binafsi ya Mama Samia. Ambaye anajiaminisha uongo !

Huyu Mama ni janga

Unajua unapoandika topic nyeti kama hii uje na utafiti,sio blah blah kama hii.Je unajua ni kiadi gani cha pesa serikali yetu inapata kutoka nje kwa sasa?Je ni serikali ipi ya Tanzania ambayo imewahi kupata fedha nyingi kuliko nyingine?Je ni kiasi gani cha fedha na kutoka nchi zipi ambazo serikali hii imezikosa kwa ajili ya hicho unachotuhumu?.Hivi unajua ni nchi zipi zilizoiba kura na zinadunfa tu?Hivi unajua wizi wa kura uliyofanywa Kenya? Je imenyimwa fedha?
Tuache blah blah
 
Acha uchawa data gani uchawa sio data
 
Acha uchawa data gani uchawa sio data
Kama upinzani kuna mazuzu kama wewe ni wazi hamtawini kitu,leta taarifa iliyoshiba ili uweze kushawishi watu,ukiombwa data unakimbilia hoja za hovyo kabisa,anyway siwezi kupoteza muda kujibizana na lumpen
 
Kigezo pekee cha kupata shavu au kuonekana unafaa kwa sasa ni kuwa chawa na kusifu kila kitu.
 
Wizi wa kijinga wa kura umeharibu mahusiano ya watanzania wenyewe kwa wenyewe , majirani zetu kama Kenya, nchi za south Africa. Lakini imeharibu mahusiano na wadau wanao tusaidia kwenye afya, barabara, na uwekezaji. Kwasasa mfano hakuna visa tena zinatoka kwa wafanyabiashara wetu kwenda Marekani kwenye mikutano au kwenye lolote! Uwekezaji ni pamoja na uwezo wa kusafiri kirahisi. Lakini Mama sasa anaona wote ni wabaya yeye na machawa tu ni wazuri. Ameweka vita na Watanzania dispora kwasababu si machawa na hawashabikii mauaji maana wanajitambua. Ameweka vita na vyama pinzani vyenye hoja. Ameteka watu wasiokubaliana na wizi wa kura, kuuwa demokrasia na kupigana na rushwa. Sasa hawa wanasiasa na ndugu zao watawekewa vikwazo na Dubai haitawezskana tena kuwa sehemu ya kujificha. Tanzania imeshuka sana kwenye kija sehemu za uwekezaji na diplomasia kwasababu ya taama ya madaraka binafsi ya Mama Samia. Ambaye anajiaminisha uongo !

Huyu Mama ni janga

Bibi kaharibu nchi vibaya mno.
 
Back
Top Bottom