Unajua unapoandika topic nyeti kama hii uje na utafiti,sio blah blah kama hii.Je unajua ni kiadi gani cha pesa serikali yetu inapata kutoka nje kwa sasa?Je ni serikali ipi ya Tanzania ambayo imewahi kupata fedha nyingi kuliko nyingine?Je ni kiasi gani cha fedha na kutoka nchi zipi ambazo serikali hii imezikosa kwa ajili ya hicho unachotuhumu?.Hivi unajua ni nchi zipi zilizoiba kura na zinadunfa tu?Hivi unajua wizi wa kura uliyofanywa Kenya? Je imenyimwa fedha?Wizi wa kijinga wa kura umeharibu mahusiano ya watanzania wenyewe kwa wenyewe , majirani zetu kama Kenya, nchi za south Africa. Lakini imeharibu mahusiano na wadau wanao tusaidia kwenye afya, barabara, na uwekezaji. Kwasasa mfano hakuna visa tena zinatoka kwa wafanyabiashara wetu kwenda Marekani kwenye mikutano au kwenye lolote! Uwekezaji ni pamoja na uwezo wa kusafiri kirahisi. Lakini Mama sasa anaona wote ni wabaya yeye na machawa tu ni wazuri. Ameweka vita na Watanzania dispora kwasababu si machawa na hawashabikii mauaji maana wanajitambua. Ameweka vita na vyama pinzani vyenye hoja. Ameteka watu wasiokubaliana na wizi wa kura, kuuwa demokrasia na kupigana na rushwa. Sasa hawa wanasiasa na ndugu zao watawekewa vikwazo na Dubai haitawezskana tena kuwa sehemu ya kujificha. Tanzania imeshuka sana kwenye kija sehemu za uwekezaji na diplomasia kwasababu ya taama ya madaraka binafsi ya Mama Samia. Ambaye anajiaminisha uongo !
Huyu Mama ni janga
Exclusive: Senators propose overhaul of US-Tanzania relationship
A new bipartisan bill would impose sanctions and freeze assistance in response to the country’s political crisis.www.semafor.com
Inakusaidia nini kuweka picha hizi wakati huna ushahidi wa unaowatuhumuhuo ndio u lumpen🚮🚮🚮🚮🚮🚮
Unaotuhumiwa ndio nini mkuu?Inakusaidia nini kuweka picha hizi wakati huna ushahidi wa unaotuhumiwa,huo ndio u lumpen
Unajua unapoandika topic nyeti kama hii uje na utafiti,sio blah blah kama hii.Je unajua ni kiadi gani cha pesa serikali yetu inapata kutoka nje kwa sasa?Je ni serikali ipi ya Tanzania ambayo imewahi kupata fedha nyingi kuliko nyingine?Je ni kiasi gani cha fedha na kutoka nchi zipi ambazo serikali hii imezikosa kwa ajili ya hicho unachotuhumu?.Hivi unajua ni nchi zipi zilizoiba kura na zinadunfa tu?Hivi unajua wizi wa kura uliyofanywa Kenya? Je imenyimwa fedha?
Tuache blah blah
Kama upinzani kuna mazuzu kama wewe ni wazi hamtawini kitu,leta taarifa iliyoshiba ili uweze kushawishi watu,ukiombwa data unakimbilia hoja za hovyo kabisa,anyway siwezi kupoteza muda kujibizana na lumpenAcha uchawa data gani uchawa sio data
Soma nimerekebishaUnaotuhumiwa ndio nini mkuu?
Bibi kaharibu nchi vibaya mno.Wizi wa kijinga wa kura umeharibu mahusiano ya watanzania wenyewe kwa wenyewe , majirani zetu kama Kenya, nchi za south Africa. Lakini imeharibu mahusiano na wadau wanao tusaidia kwenye afya, barabara, na uwekezaji. Kwasasa mfano hakuna visa tena zinatoka kwa wafanyabiashara wetu kwenda Marekani kwenye mikutano au kwenye lolote! Uwekezaji ni pamoja na uwezo wa kusafiri kirahisi. Lakini Mama sasa anaona wote ni wabaya yeye na machawa tu ni wazuri. Ameweka vita na Watanzania dispora kwasababu si machawa na hawashabikii mauaji maana wanajitambua. Ameweka vita na vyama pinzani vyenye hoja. Ameteka watu wasiokubaliana na wizi wa kura, kuuwa demokrasia na kupigana na rushwa. Sasa hawa wanasiasa na ndugu zao watawekewa vikwazo na Dubai haitawezskana tena kuwa sehemu ya kujificha. Tanzania imeshuka sana kwenye kija sehemu za uwekezaji na diplomasia kwasababu ya taama ya madaraka binafsi ya Mama Samia. Ambaye anajiaminisha uongo !
Huyu Mama ni janga
Exclusive: Senators propose overhaul of US-Tanzania relationship
A new bipartisan bill would impose sanctions and freeze assistance in response to the country’s political crisis.www.semafor.com