Tanzania tumenufaika nini kwa uwekezaji huko Loliondo na Ngorongoro?

Nimekuwa nikijiuliza: Tanzania kama Taifa huru tunanufaika nini na uwekezaji unaofanyika Loliondo na Ngorongoro?

Najiuliza swali hili kutokana na mateso na manyanyaso ambayo wenzetu wamasai wanapata kutoka kwa vyombo vyetu vya dola vikiwemo polisi, JWTZ na askari wa TANAPA. Wamasai wanapigwa risasi, mabomu, mijeredi na kunyimwa chakula ili kuwalazimisha kuhama katika maeneo yao ya asili! Wamasai wanawindwa kama swala mwituni, wanafungwa magerezani, wanapotezwa kusikojulikana yaani ni mateso kwa kwenda mbele kama siyo wananchi, kama siyo watu na kama wahaini wanaotaka kupindua serikali!

Kama ni fedha ni kiasi gani hicho ambacho serikali ya Samia inajivua utu hadi kutekeleza mauaji ya kutisha kwa raia wake? Kwamba sasa serikali inaondoa huduma zote za jamii kama elimu, afya na utawala ili kupisha wawekezaji! Kwamba fedha na wawekezaji wana thamani kuzidi wananchi wake na utu wa binadamu!

Waandishi wa habari mna mchango mkubwa sana katika madhila na mateso yanayowapata wamasai. Mnalipwa na serikali kuandika uongo kwa ajili ya matumbo yenu! Mmesahau majukumu yenu ya kutoa taarifa za ukweli bila upendeleo kwa sababu ya fedha! Ninyi pia ni wauaji wakubwa! Mateso ya wamasai yatawafuata na hakika malipo yenu yapo hapa hapa duniani!

Serikali ya Samia acha kutoa mateso kwa raia wako. Wamasai ni raia na zaidi ya yote ni binadamu wanastahili kutendewa utu! Mbaya zaidi mnawaondoa wamasai mnapeleka watu wenu, mngeeleweka kama mngeacha mapori wazi!

Hakika Mungu yupo na anawaona!
Raia wa kawaida hawajui na hawatojua mpaka atokee mzalendo wa kweli amwage diko chini!!!
 
Nimejiuliza sana swali hili.
Waziri Mchengerwa anapaswa kutupatia majibu maridhawa
 
Serikali ya CCM hipo tayari Wamasai waamishiwe hata Burundi hili muarabu apewe ngorongoro na loliondo.
 
Nimekuwa nikijiuliza: Tanzania kama Taifa huru tunanufaika nini na uwekezaji unaofanyika Loliondo na Ngorongoro?

Najiuliza swali hili kutokana na mateso na manyanyaso ambayo wenzetu wamasai wanapata kutoka kwa vyombo vyetu vya dola vikiwemo polisi, JWTZ na askari wa TANAPA. Wamasai wanapigwa risasi, mabomu, mijeredi na kunyimwa chakula ili kuwalazimisha kuhama katika maeneo yao ya asili! Wamasai wanawindwa kama swala mwituni, wanafungwa magerezani, wanapotezwa kusikojulikana yaani ni mateso kwa kwenda mbele kama siyo wananchi, kama siyo watu na kama wahaini wanaotaka kupindua serikali!

Kama ni fedha ni kiasi gani hicho ambacho serikali ya Samia inajivua utu hadi kutekeleza mauaji ya kutisha kwa raia wake? Kwamba sasa serikali inaondoa huduma zote za jamii kama elimu, afya na utawala ili kupisha wawekezaji! Kwamba fedha na wawekezaji wana thamani kuzidi wananchi wake na utu wa binadamu!

Waandishi wa habari mna mchango mkubwa sana katika madhila na mateso yanayowapata wamasai. Mnalipwa na serikali kuandika uongo kwa ajili ya matumbo yenu! Mmesahau majukumu yenu ya kutoa taarifa za ukweli bila upendeleo kwa sababu ya fedha! Ninyi pia ni wauaji wakubwa! Mateso ya wamasai yatawafuata na hakika malipo yenu yapo hapa hapa duniani!

Serikali ya Samia acha kutoa mateso kwa raia wako. Wamasai ni raia na zaidi ya yote ni binadamu wanastahili kutendewa utu! Mbaya zaidi mnawaondoa wamasai mnapeleka watu wenu, mngeeleweka kama mngeacha mapori wazi!

Hakika Mungu yupo na anawaona!
Waliopisha migodi,walivunjiwa makazi kupisha Barabara hao sio raia ila masai wa Ngorongoro ndio raia na binadamu saaana kuliko wengine au siyo?

Upumbavu,kama hujui unavyonufaika Baki hivyo hivyo.
 
Hivi JWTZ nchi hii wana kazi gani?, au jina libadilishwe na kuitwa Jeshi la Mafisadi wa tanzania JMTZ
 
Ngorongoro ni wanyama pori na asili yao wamasai walikuja wakavamia haya maeneo! Wasepe tu waende sehemui ingine sii lazima walazimi
Ishe Ngorongoro! Hawako special kihivyo wakikataa nasema watahamishwa kwa nguvu!
 
Huyo anajua kila kitu.... Hata asivyovifehem yeye anavijua
Hahaha...
1692876920533.png
 
Waliopisha migodi,walivunjiwa makazi kupisha Barabara hao sio raia ila masai wa Ngorongoro ndio raia na binadamu saaana kuliko wengine au siyo?

Upumbavu,kama hujui unavyonufaika Baki hivyo hivyo.
Kama huwezi kupambanua na kutofautisha mambo wewe ni maiti inayotembea! Na maiti makazi yake ni kaburini!
 
Nimekuwa nikijiuliza: Tanzania kama Taifa huru tunanufaika nini na uwekezaji unaofanyika Loliondo na Ngorongoro?

Najiuliza swali hili kutokana na mateso na manyanyaso ambayo inaelezwa wenzetu Wamasai wanapata kutoka kwa vyombo vyetu vya dola vikiwemo Polisi, JWTZ na Askari wa TANAPA.

Inaelezwa kuwa Wamasai wanapigwa risasi, mabomu, mijeredi na kunyimwa chakula ili kuwalazimisha kuhama katika maeneo yao ya asili! Inadaiwa Wamasai wanawindwa kama Swala mwituni, wanafungwa Magerezani, wanapotezwa kusikojulikana yaani ni mateso kwa kwenda mbele kama siyo wananchi, kama siyo watu na kama wahaini wanaotaka kupindua Serikali!

Kama ni fedha ni kiasi gani hicho ambacho Serikali ya Samia inajivua utu hadi kudaiwa kutekeleza mauaji ya kutisha kwa raia wake?

Kwamba sasa Serikali inaondoa huduma zote za jamii kama elimu, afya na utawala ili kupisha wawekezaji! Kwamba fedha na wawekezaji wana thamani kuzidi wananchi wake na utu wa binadamu?

Waandishi wa habari mna mchango mkubwa sana katika madhila na mateso yanayowapata wamasai. Mnalipwa na Serikali kuandika uongo kwa ajili ya matumbo yenu! Mmesahau majukumu yenu ya kutoa taarifa za ukweli bila upendeleo kwa sababu ya fedha! Ninyi pia ni wauaji wakubwa! Mateso ya wamasai yatawafuata na hakika malipo yenu yapo hapa hapa duniani!

Iwapo yanayodaiwa ni kweli, Serikali ya Samia acha kutoa mateso kwa raia wako. Wamasai ni raia na zaidi ya yote ni binadamu wanastahili kutendewa utu! Mbaya zaidi mnawaondoa wamasai mnapeleka watu wenu, mngeeleweka kama mngeacha mapori wazi!

Hakika Mungu yupo na anawaona!
Maumivu na kipigo
 
Hakuna tunachonufaika nacho sana sana ni mateso na uvunjifu wa haki za binadamu unaendelea kwenye jamii ya wamasai waishio huko

Ni huzuni kuu

Tupaze sauti
 
Inaelezwa kuwa Wamasai wanapigwa risasi, mabomu, mijeredi na kunyimwa chakula ili kuwalazimisha kuhama katika maeneo yao ya asili! Inadaiwa Wamasai wanawindwa kama Swala mwituni, wanafungwa Magerezani, wanapotezwa kusikojulikana yaani ni mateso kwa kwenda mbele kama siyo wananchi, kama siyo watu na kama wahaini wanaotaka kupindua Serikali!
Mwarabu tangu zamani ni mtu katiri sana
 
Nimekuwa nikijiuliza: Tanzania kama Taifa huru tunanufaika nini na uwekezaji unaofanyika Loliondo na Ngorongoro?

Najiuliza swali hili kutokana na mateso na manyanyaso ambayo inaelezwa wenzetu Wamasai wanapata kutoka kwa vyombo vyetu vya dola vikiwemo Polisi, JWTZ na Askari wa TANAPA.

Inaelezwa kuwa Wamasai wanapigwa risasi, mabomu, mijeredi na kunyimwa chakula ili kuwalazimisha kuhama katika maeneo yao ya asili! Inadaiwa Wamasai wanawindwa kama Swala mwituni, wanafungwa Magerezani, wanapotezwa kusikojulikana yaani ni mateso kwa kwenda mbele kama siyo wananchi, kama siyo watu na kama wahaini wanaotaka kupindua Serikali!

Kama ni fedha ni kiasi gani hicho ambacho Serikali ya Samia inajivua utu hadi kudaiwa kutekeleza mauaji ya kutisha kwa raia wake?

Kwamba sasa Serikali inaondoa huduma zote za jamii kama elimu, afya na utawala ili kupisha wawekezaji! Kwamba fedha na wawekezaji wana thamani kuzidi wananchi wake na utu wa binadamu?

Waandishi wa habari mna mchango mkubwa sana katika madhila na mateso yanayowapata wamasai. Mnalipwa na Serikali kuandika uongo kwa ajili ya matumbo yenu! Mmesahau majukumu yenu ya kutoa taarifa za ukweli bila upendeleo kwa sababu ya fedha! Ninyi pia ni wauaji wakubwa! Mateso ya wamasai yatawafuata na hakika malipo yenu yapo hapa hapa duniani!

Iwapo yanayodaiwa ni kweli, Serikali ya Samia acha kutoa mateso kwa raia wako. Wamasai ni raia na zaidi ya yote ni binadamu wanastahili kutendewa utu! Mbaya zaidi mnawaondoa wamasai mnapeleka watu wenu, mngeeleweka kama mngeacha mapori wazi!

Hakika Mungu yupo na anawaona!

View: https://twitter.com/BabaMwita/status/1694667616298655855?t=8MXbt0ZGvUwr2FnVCpnfpA&s=09

Angalizo kumpinga Samia na serikali yake ni Uhaini!😁
 
Waliopisha migodi,walivunjiwa makazi kupisha Barabara hao sio raia ila masai wa Ngorongoro ndio raia na binadamu saaana kuliko wengine au siyo?

Upumbavu,kama hujui unavyonufaika Baki hivyo hivyo.
Kama huwezi kupambanua na kutofautisha mambo wewe ni maiti inayotembea! Na maiti makazi yake ni kaburini!
Huyu jamaa mpumbavu sana
Kutesa watu siyo sifa. Umeulizwa faida wewe unakimbilia kusifia ujinga CCM wengi ni form four failure wakiongozwa na makamba na Nape
 
Nimekuwa nikijiuliza: Tanzania kama Taifa huru tunanufaika nini na uwekezaji unaofanyika Loliondo na Ngorongoro?

Najiuliza swali hili kutokana na mateso na manyanyaso ambayo inaelezwa wenzetu Wamasai wanapata kutoka kwa vyombo vyetu vya dola vikiwemo Polisi, JWTZ na Askari wa TANAPA.

Inaelezwa kuwa Wamasai wanapigwa risasi, mabomu, mijeredi na kunyimwa chakula ili kuwalazimisha kuhama katika maeneo yao ya asili! Inadaiwa Wamasai wanawindwa kama Swala mwituni, wanafungwa Magerezani, wanapotezwa kusikojulikana yaani ni mateso kwa kwenda mbele kama siyo wananchi, kama siyo watu na kama wahaini wanaotaka kupindua Serikali!

Kama ni fedha ni kiasi gani hicho ambacho Serikali ya Samia inajivua utu hadi kudaiwa kutekeleza mauaji ya kutisha kwa raia wake?

Kwamba sasa Serikali inaondoa huduma zote za jamii kama elimu, afya na utawala ili kupisha wawekezaji! Kwamba fedha na wawekezaji wana thamani kuzidi wananchi wake na utu wa binadamu?

Waandishi wa habari mna mchango mkubwa sana katika madhila na mateso yanayowapata wamasai. Mnalipwa na Serikali kuandika uongo kwa ajili ya matumbo yenu! Mmesahau majukumu yenu ya kutoa taarifa za ukweli bila upendeleo kwa sababu ya fedha! Ninyi pia ni wauaji wakubwa! Mateso ya wamasai yatawafuata na hakika malipo yenu yapo hapa hapa duniani!

Iwapo yanayodaiwa ni kweli, Serikali ya Samia acha kutoa mateso kwa raia wako. Wamasai ni raia na zaidi ya yote ni binadamu wanastahili kutendewa utu! Mbaya zaidi mnawaondoa wamasai mnapeleka watu wenu, mngeeleweka kama mngeacha mapori wazi!

Hakika Mungu yupo na anawaona!

View: https://twitter.com/BabaMwita/status/1694667616298655855?t=8MXbt0ZGvUwr2FnVCpnfpA&s=09

Mungu yupo that is all what we can say.
 
Back
Top Bottom