Tanzania tumenufaika nini kwa uwekezaji huko Loliondo na Ngorongoro?

Raia wa kawaida hawajui na hawatojua mpaka atokee mzalendo wa kweli amwage diko chini!!!
 
Nimejiuliza sana swali hili.
Waziri Mchengerwa anapaswa kutupatia majibu maridhawa
 
Serikali ya CCM hipo tayari Wamasai waamishiwe hata Burundi hili muarabu apewe ngorongoro na loliondo.
 
Waliopisha migodi,walivunjiwa makazi kupisha Barabara hao sio raia ila masai wa Ngorongoro ndio raia na binadamu saaana kuliko wengine au siyo?

Upumbavu,kama hujui unavyonufaika Baki hivyo hivyo.
 
Hivi JWTZ nchi hii wana kazi gani?, au jina libadilishwe na kuitwa Jeshi la Mafisadi wa tanzania JMTZ
 
Ngorongoro ni wanyama pori na asili yao wamasai walikuja wakavamia haya maeneo! Wasepe tu waende sehemui ingine sii lazima walazimi
Ishe Ngorongoro! Hawako special kihivyo wakikataa nasema watahamishwa kwa nguvu!
 
Waliopisha migodi,walivunjiwa makazi kupisha Barabara hao sio raia ila masai wa Ngorongoro ndio raia na binadamu saaana kuliko wengine au siyo?

Upumbavu,kama hujui unavyonufaika Baki hivyo hivyo.
Kama huwezi kupambanua na kutofautisha mambo wewe ni maiti inayotembea! Na maiti makazi yake ni kaburini!
 
Maumivu na kipigo
 
Hakuna tunachonufaika nacho sana sana ni mateso na uvunjifu wa haki za binadamu unaendelea kwenye jamii ya wamasai waishio huko

Ni huzuni kuu

Tupaze sauti
 
Mwarabu tangu zamani ni mtu katiri sana
 
Angalizo kumpinga Samia na serikali yake ni Uhaini!😁
 
Waliopisha migodi,walivunjiwa makazi kupisha Barabara hao sio raia ila masai wa Ngorongoro ndio raia na binadamu saaana kuliko wengine au siyo?

Upumbavu,kama hujui unavyonufaika Baki hivyo hivyo.
Kama huwezi kupambanua na kutofautisha mambo wewe ni maiti inayotembea! Na maiti makazi yake ni kaburini!
Huyu jamaa mpumbavu sana
Kutesa watu siyo sifa. Umeulizwa faida wewe unakimbilia kusifia ujinga CCM wengi ni form four failure wakiongozwa na makamba na Nape
 
Mungu yupo that is all what we can say.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…