The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Wewe ni mpumbavu pamoja na huyo taahira wako,kama hujui faida ya wawekezaji wewe ni wa kufukiwa huna maana hata kidogo.Huyu jamaa mpumbavu sana
Kutesa watu siyo sifa. Umeulizwa faida wewe unakimbilia kusifia ujinga CCM wengi ni form four failure wakiongozwa na makamba na Nape
Umeambiwa Taja faida tulizopata kutoka huko loliondo usitukane watu hapaWewe ni mpumbavu pamoja na huyo taahira wako,kama hujui faida ya wawekezaji wewe ni wa kufukiwa huna maana hata kidogo.
Ukiwa na akili timamu unaweza kuhoji faida ya uwekezaji? Kama sio utaahira ni kitu gani.
Hii dhambi CCM imeanza kuwatafutana kabla ya jogoo hajawikaKatika waraka wa TEC , wameelezea haki zilizokiukwa kwa jamii ya wamasai
Unafananisha dhamani ya ardhi huto tubidhaa twa uchuuzi kutoka dubaiWana mkataba toka enzi za mwinyi, walipewa miaka 100 hao, sasa jaribu kuwatoa halafu tuone kama kuna mswahili ataingia dubai kununua visimu vyenu vya bei poa.