Tanzania tuna aina mbili za umaskini hizi hapa

Tanzania tuna aina mbili za umaskini hizi hapa

Kijana LOGICS

Senior Member
Joined
Dec 16, 2023
Posts
140
Reaction score
536
Afrika kwa mfano Tanzania tuna 1. Umasikini wa mawazo/ fikra na 2. Umasikini wa kifedha.

Manake Inabid tupambane na two types za umaskini at the same time.

Mapambano yanakua makali tuna pambana na umaskin WA mawazo/ fikra kwa kiwango kidogo sana halafu tunapambana na umasikini wa kifedha. Kwa nguvu zote

Kupambana na umaskini wa kiuchumi inataka umaskin wa mawazo usiwepo work done inakua Sawa na 0.

Nini kifanyike
elimu iwe kipaumbele watoto/ vijana wasome wafaulu vizuri primary, secondary, wafike universities watunukiwe diploma degrees, masters, n.k. Tuweze kukomboa fikra

Fikra ikiwa Sawa uchumi unakua sawa
 
Back
Top Bottom