Tanzania tuna akiba ya forex ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi sita au kutulisha wote kwa miezi mitatu

Mkuu kwema?
CCM ni chama kubwa usishangae ukabishana na mtu X na ukajibiwa na Mtu Y so usiumize kichwa wewe jibu hoja kama unaweza,
 
CCM ni chama kubwa usishangae ukabishana na mtu X na ukajibiwa na Mtu Y so usiumize kichwa wewe jibu hoja kama unaweza,
Aiseee, nchi hii kweli imeparaganyika!
Tumekuwa na watu wa aina hii, tena ndio wanaoendesha nchi?

Inabidi tuombe sana Mungu atunusuru.
 
Jamaa la FY

πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 
Aiseee, nchi hii kweli imeparaganyika!
Tumekuwa na watu wa aina hii, tena ndio wanaoendesha nchi?

Inabidi tuombe sana Mungu atunusuru.
Tatizo liko wapi mkui,

Mungu ni mkuu sana
 
Tatizo liko wapi mkui,

Mungu ni mkuu sana
Wewe kwa upofu ulionao huwezi kuona tatizo lilipo; ila ninakubaliana nawe katika hilo la "Mungu ni mkuu sana"
Tumekwishashuhudia 'UKUU' wake muda si kitambo, unakumbuka?

Hata hili atatunusuru nalo.
 
Wewe kwa upofu ulionao huwezi kuona tatizo lilipo; ila ninakubaliana nawe katika hilo la "Mungu ni mkuu sana"
Tumekwishashuhudia 'UKUU' wake muda si kitambo, unakumbuka?

Hata hili atatunusuru nalo.
Tuendelee kumwomba na kumtumikia Mungu
 
🀣🀣🀣🀣 Nimecheka kwa sauti,

Mkuu hii ni kama itatokea shida ndio zitafanya kazi kwa sasa ni akiba yetu
Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,

miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000

Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
 
πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

Kutoka Mwaka 2015/16 hadi 2020/21 pesa iliyoongezwa bodi ya mikopo ilikuwa Tshs 101BL na wanafunzi wapya walikuwa elfu 32 ,

Awamu ya sita kwa miezi sita pesa iliyoongezwa kwenye bodi hiyohiyo ni Tsh 120b na wanafunzi wapya ni elfu 29

Budget ya HESLB kwa mwaka 2015/16 ilikuwa 348.7B kwa wanafunzi 98,300

Budget ya HESLB mwaka 2020/21 ilifikia 450B kwa wanafunzi 130,883

_________________________

Awamu ya sita kwa miezi sita imeongeza budget kutoka 450B za awali hadi 570B za sasa na idadi ya wanufaika imeongezeka na kufikia 160,000.

#Hoja hapa ni muda wa matokeo

#HAKUNA KAMA SAMIA
 
Safi sana hii
 
Mungu akijaalia next year baada ya kuanza uzalishaji wa migodi itaingiza fedha za kigeni zaidi ya dola za Marekani bil.5.5 kwa mwaka.



 
Hongera sana Rais Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…