Tanzania tuna akiba ya forex ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi sita au kutulisha wote kwa miezi mitatu

Tanzania ni nchi tajiri sana tukubali tukatae
 
😍😍 Nimecheka kwa sauti
Kama zinaweza kutulisha kwa miezi hiyo, fungu linaloweza kutushibisha kwa mwezi mmoja watugawie mitaji tupambane kitaa hapasomeki kab
 
Kama zinaweza kutulisha kwa miezi hiyo, fungu linaloweza kutushibisha kwa mwezi mmoja watugawie mitaji tupambane kitaa hapasomeki kabisa
Tanzania imepata rais wa kihistoria
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Tanzania inakimbia yaani
 
Najaribu kuwaza kwa Sauti kama sio Rais Samia Suluhu leo Tanzania tungekuwa wapi?
 
Kwa speed hii ya Rais Samia, Tanzania huenda ikaibua mabilionea wapya 100 miaka miwili ijayo,Tufanye kazi kwa bidii zaidi
 
Mwezetu CM 1774857 maisha yako mazuri sana.Unanyuzi zaidi ya tano wiki hii za kusifia wakati wezako maisha tight.
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…