Tanzania tuna akiba ya forex ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi sita au kutulisha wote kwa miezi mitatu

 
Karibu kila kitu Tanzania tuko vizuri sana
 
We proud on this
 
Wale waliosoma uchumi wanafahamu FDR ni kiashiria cha Uchumi imara wa nchi, Hongera Mama Samia
 
Kazi iendelee Tanzania, Mungu yuko na sisi,
 
Kama zinaweza kutulisha kwa miezi hiyo, fungu linaloweza kutushibisha kwa mwezi mmoja watugawie mitaji tupambane kitaa hapasomeki kabisa
Hii comment kila nikiisoma nacheka Sana,
 
Haya ni maajabu ya Rais Samia Suluhu Hassan,
 
Kaziindelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…