Tanzania tuna akiba ya forex ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi sita au kutulisha wote kwa miezi mitatu

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Halafu wakubwa wanakula kwa urefu wa kamba zao.

Dunia haiko fair kabisa!!
πŸ˜€πŸ˜€ Hujaelewa hiyo statement mkuu
 
Kazi ya Rais Samia inaonekana
 
Tanzania tuko vizuri Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…