Tanzania tuna amani ila uhuru wetu umebagazwa na kubanangwa

Kuna siku tutafika huko, hao waliouwawa wapo na ndugu, marafiki, majirani, watoto, wazazi wa hao walioko kwenye vyombo vya ulinzi na usalama. Nao pia ni binadamu.
 
Kuna siku tutafika huko, hao waliouwawa wapo na ndugu, marafiki, majirani, watoto, wazazi wa hao walioko kwenye vyombo vya ulinzi na usalama. Nao pia ni binadamu.
Nakubaliana na wewe hiyo siku ikifika ni dakika 0 tu wanapindua meza
 
Hili halitasahaulika vizazi na vizazi vijavyo lakini ukweli utabakia pale pale Amani ndio tunu yetu,yaliyotokea yametokea baada ya serikali kutumia nguvu kupita kiasi katika kile kinachoitwa kutuliza fujo na vurugu za 29 oct
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…