Tanzania tuna Jeshi la Polisi au Vikundi vya Wahuni?

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
7,225
Reaction score
9,830

View: https://youtu.be/CJxcv40HPc8?si=incSZXUCBCtZpofw

Kwa vitendo vinavofanywa na Jeshi la Polisi Tanzania kwa raia, basi tunaweza kusema kuwa hawa ni Magaidi, Majambazi, Maharamia na Wauaji.

Matukio na vitendo vya ukamataji, unyanyasaji, udhalilishaji, utesaji na uuaji kwa raia wasio na hatia ni kielelezo tosha kuwa hili si Jeshi la linalotakiwa kuhudumia wananchi.

Tafakari.
 
Daaaaa ss mkombozi ni nanii🤔🤔
 
Polisi wanabaka raia...mimi nawashangaa watu wanaowatetea Polisi wetu
 
Mimi napenda katikati ya haya basi litokee kama lililomkuta Magufuli tarehe 17.
 
Polisi wanabaka raia...mimi nawashangaa watu wanaowatetea Polisi wetu
Kwa maneno ya Gwajiboy"....nimemsikia ponjoro mmoja mchezesha kamali akitetea mtoto wa Rais....." Je, unamjua huyo ponjoro nnani?
 
View: https://youtu.be/CJxcv40HPc8?si=incSZXUCBCtZpofw

Kwa vitendo vinavofanywa na Jeshi la Polisi Tanzania kwa raia, basi tunaweza kusema kuwa hawa ni Magaidi, Majambazi, Maharamia na Wauaji.

Matukio na vitendo vya ukamataji, unyanyasaji, udhalilishaji, utesaji na uuaji kwa raia wasio na hatia ni kielelezo tosha kuwa hili si Jeshi la linalotakiwa kuhudumia wananchi.

Tafakari.

Hii simulizi imenitisha sana. Mtu hachagui kwao, lakini baada ya kusikiliza hii Habari, hata nchi yangu naanza kuona kama vile sikubidi kuwepo, watu wa Ajabu, huwezi kutaja hata jina la Rais kwangu likapanda kichwani kama hawa wa hadhi. Samia na Kikwete. Waliokufa siwalaumu kwa sababu hujui wangesema nini. Lakini hawa wawili ni wahuni wakubwa sana na Mungu awalaani. Yaani huwezi kusikiliza hii Habari halafu weweujione mzazi. Inatia kinyaa.

Ni Nchi ya kishetani hii
 
View: https://youtu.be/CJxcv40HPc8?si=incSZXUCBCtZpofw

Kwa vitendo vinavofanywa na Jeshi la Polisi Tanzania kwa raia, basi tunaweza kusema kuwa hawa ni Magaidi, Majambazi, Maharamia na Wauaji.

Matukio na vitendo vya ukamataji, unyanyasaji, udhalilishaji, utesaji na uuaji kwa raia wasio na hatia ni kielelezo tosha kuwa hili si Jeshi la linalotakiwa kuhudumia wananchi.

Tafakari.

Wangeeleza kwa Kiswahili ili machawa waelewe vizuri aina ya watu wanaowalamba miguu, maana kuna ambao hawataelewa.

Yaani, mtu anatekwa, anavuliwa nguo zote anabaki kama alivyozaliwa, anapakwa mafuta ya kulainisha, anasokomezwa dude huko nyuma, halafu anaulizwa kama anasikia utamu, anaambiwa kila akisokomezwa aseme asante "fulani"... Duh!
 
Back
Top Bottom