Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
Organized crime groupHii ni Crimes against Humanity, case ya ICC
Polisi aina gani hawa? Polisi wanabaka, wanatesa, wananyanyasa raia. Hivi huko CCP ndo wanafundishwa huu upumbaf kweli???Hapana Mungu wangu. Huu ushenx lazima ukomeshwe!!Hii ni High Crimes Against Humanity, case ya ICC
Lazima Mungu atupatie mtu aina ya Nabii Musa aliyewaongoza Wana Israel kutoka Misri kwenda nchi ya ahadi ya Kanani. Mungu huwa hachelewi wala hawai.Daaaaa ss mkombozi ni nanii🤔🤔
Kwa maneno ya Gwajiboy"....nimemsikia ponjoro mmoja mchezesha kamali akitetea mtoto wa Rais....." Je, unamjua huyo ponjoro nnani?Polisi wanabaka raia...mimi nawashangaa watu wanaowatetea Polisi wetu
Hii simulizi imenitisha sana. Mtu hachagui kwao, lakini baada ya kusikiliza hii Habari, hata nchi yangu naanza kuona kama vile sikubidi kuwepo, watu wa Ajabu, huwezi kutaja hata jina la Rais kwangu likapanda kichwani kama hawa wa hadhi. Samia na Kikwete. Waliokufa siwalaumu kwa sababu hujui wangesema nini. Lakini hawa wawili ni wahuni wakubwa sana na Mungu awalaani. Yaani huwezi kusikiliza hii Habari halafu weweujione mzazi. Inatia kinyaa.
View: https://youtu.be/CJxcv40HPc8?si=incSZXUCBCtZpofw
Kwa vitendo vinavofanywa na Jeshi la Polisi Tanzania kwa raia, basi tunaweza kusema kuwa hawa ni Magaidi, Majambazi, Maharamia na Wauaji.
Matukio na vitendo vya ukamataji, unyanyasaji, udhalilishaji, utesaji na uuaji kwa raia wasio na hatia ni kielelezo tosha kuwa hili si Jeshi la linalotakiwa kuhudumia wananchi.
Tafakari.
Wangeeleza kwa Kiswahili ili machawa waelewe vizuri aina ya watu wanaowalamba miguu, maana kuna ambao hawataelewa.
View: https://youtu.be/CJxcv40HPc8?si=incSZXUCBCtZpofw
Kwa vitendo vinavofanywa na Jeshi la Polisi Tanzania kwa raia, basi tunaweza kusema kuwa hawa ni Magaidi, Majambazi, Maharamia na Wauaji.
Matukio na vitendo vya ukamataji, unyanyasaji, udhalilishaji, utesaji na uuaji kwa raia wasio na hatia ni kielelezo tosha kuwa hili si Jeshi la linalotakiwa kuhudumia wananchi.
Tafakari.
Wanao watetea ni wale wanaofikiri kwa kutumia makalio!!Polisi wanabaka raia...mimi nawashangaa watu wanaowatetea Polisi wetu
Inafaa kufuta hao wahuni na kuanza upyaTanzania tuna Jeshi la Polisi au Vikundi vya Wahuni?