Tanzania tuna kwama wapi,Angalia uganda wamezindua mabasi yao

Tanzania tuna kwama wapi,Angalia uganda wamezindua mabasi yao

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Mtu kama masoud kipanya sio wa kumkatisha tamaa.
Uganda wametengeneza mabasi ya mwendo kasi na aina tofauti.
20251218_131734.jpg
20251218_131730.jpg
20251218_131715.jpg
 
Maji tu shida kwa CCM ndiyo wafike kwenye mabasi huko
 
Wameweza kuunganisha mabasi, kwa kutumia teknolojia, vifaa vya kutoka nje. Safari ya kuunda mabasi yao bado haijaanza.
 
Mtu kama masoud kipanya sio wa kumkatisha tamaa.
Uganda wametengeneza mabasi ya mwendo kasi na aina tofauti.
View attachment 3517098View attachment 3517099View attachment 3517100

Tanzania tupo bize kulinda Dola, badala ya kufanya Ujasusi wa kiuchumi, badala yake tunafanywa Ujasusi wa ufisadi ili tununue G.Wagon na Rolls Royce huku mabinti zao wakiwalingishia Gen-Z wa Tanganyika vibunda vya dolari wakati wao Gen - Z wakihangaishwa na Betting kama Ajira rasmi Tanzania.

Gen- Z wa bongo bila betting na kucheza pool table ya kamari, Maisha hayasongi maana hata Bodaboda hailipi
 
Back
Top Bottom