Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Sababu hakuna mfumo ambao ni asilimia 100 na mifumo yote ni mchanganyiko tofauti tofauti napenda kujua watanzania wanapenda mfumo gani na mfumo upi unaweza kuwafaa?
Kama watanzania tunapenda vya Bure je ni mfumo gani utatufaa... na vya bure ni vipi? Na kutokana na Utajiri wa nchi tulionao vya bure haviwezekani? Na je mtu mwenye mtaji wa nguvu kazi lakini hana ajira ya kupata ujira bado anapenda vya Bure
Ni Mfumo Upi ni Sahihi kwa Tanzania ya leo? Huenda Mfumo fulani ukafaa kwa jirani lakini kwako usifae.
- Ubepari?
- Market socialism?
- Ubepari ukiwa na Soko Huria?
- Soko Huria?
- Command Economy?
- Unknown (Yaani Made in Tanzania)