Pale udsm wanafundisha degree hiyo ya kifaransa, na ipo katika department of foreign languages and linguistics.
UDOM Kuna Bachelor of Arts in french.
Zanzibar sasa, ndio wengi wanaenda Kumamoto degree hizo za kifaransa, kichina na kiarabu pale state university of Zanzibar kwenye school of Kiswahili and foreign language, alafu baadae wanakuja kujinoa, pale udsm Taasisi ya Confucius sijui ile inaitwa, mtanirekebisha au mabepari tunaenda alliance francaise.
Jamaa hata vitu vidogo hivi huvifahamu. Mbona vyuo vingi sana. Tena degree zilizonyooka na watu kibao wapo nje ya nchi huko. Yani kuna watu wapo china ni watanzania na wanafundisha kichina au kingereza