Tanzania tunakwama wapi kutengeneza wakina Beatrice Chebet kama ilivyo Kenya?

Tanzania tunakwama wapi kutengeneza wakina Beatrice Chebet kama ilivyo Kenya?

Tulipaswa kufanya ujasusi kwa majirani na kuvuka kule Ethiopia pia.

Ukiangalia Kenya jamii nyingi zinafanaa na wajaluo kule, wajita, wamasai, wataita, wameru, wachaga nk.
Ujasusi wetu ujikite kwa jamii (makabila) ya waKenya ambao ndio wanafanikiwa sana kwenye riadha, tuangalie upande wetu makabila yakufanana na tuanze kutafuta vipaji huko mfano kwa wamasai, wameru nk..
Tuchunguze namna yao yakuibua vipaji na nini wanafanya kuvikuza, Kwa maana ya training na facilities zake na geographic location wanazokwenda kutrain ndani na nje ya Kenya.
 
1. Kenya wakikumbuka njaa huko kwao lazima mtu akaze makalio,

2. Makocha wao na training sessions zinafanyika ndani (Eldoret) na nje (Ulaya na US). Tofaut na zenu mnazoenda kubanana kwa yule Mzee pale Kibaha.
Umemaliza 😂🙌
 
Hahaha kwa bayi

Ova
Halafu kwanini bayi tu miaka ya 90 sijui 80 huko? Unamaana waliopo wameshindwa kabisa kuvunja mipaka??

Baraza la michezo liko wapi aiseee? Riadha???
 
Back
Top Bottom