Tulipaswa kufanya ujasusi kwa majirani na kuvuka kule Ethiopia pia.
Ukiangalia Kenya jamii nyingi zinafanaa na wajaluo kule, wajita, wamasai, wataita, wameru, wachaga nk.
Ujasusi wetu ujikite kwa jamii (makabila) ya waKenya ambao ndio wanafanikiwa sana kwenye riadha, tuangalie upande wetu makabila yakufanana na tuanze kutafuta vipaji huko mfano kwa wamasai, wameru nk..
Tuchunguze namna yao yakuibua vipaji na nini wanafanya kuvikuza, Kwa maana ya training na facilities zake na geographic location wanazokwenda kutrain ndani na nje ya Kenya.