Idara ya uhamiaji ya Tanzania inadaiwa wamejaa Wakenya! How come tunaruhusu haya..afu Wakenya wenyewe waliopo wengi ni TOP. (But Anna ni mtu wa kusini).
Idara ambayo ni mama ya inchi kama uhamiaji wanadaiwa wameajiri Wakenya tena top position. Ndiyo maana unakuta kazi hata ndogo km hotel wapo wao hapo EAC ni wao tu.
Ebu tufukirie yatuatayo!
Namba 4 Kuna tetesi siyo wa kwetu..wanasema anatoka Kwa MR Pk. Hata namba 2 kiasili siyo wetu. Ulikuwaje hadi mfumo ukampitisha namba 2 wakati siyo wetu...Je mfumo nao upo compromised.
Namba 4 aliongoza madini je madini yetu yapo salama? Namba 4 leo yupo umemeni Je imekuaje?
Mh. Rais tafadhali fanyia kazi haya. Kuna watu wanajifanya ni wahaya au wasukuma kwenye cabinet ila ni wa Kule.
leo umeme hamna..SGR inapelekwa Rwanda badala ya Kongo? How .! Kwann tusiimarishe bandari yetu ya Kigoma. Mzigo ukitoka Dar unaenda Kigoma unapitia lake Tanganyika unafika Kongo why lazma upite Rwanda.
Hivi why kila siku kesi tunashitakiwa na kushindwa.. why.?
CDF Asante sana.
Rais tusaidie.
Angenda ya CDF ina mashiko sana.
Ila tujiulize, kabla ya mipaka iliyowekwa na wakoloni 1884, hali ilikuwaje?
Kama Germany East Africa (ambayo ilikuwa eneo la Tanganyika+Rwanda+Burundi) ingeendelea kutawala mpaka uhuru, bila shaka wale ambao tunawaona sasa "sio ndugu zetu"; huu mjadala usingekuwepo.
UK inaongozwa na Risshi Sunak (mgabachori ambae baba yake ni amazaliwa Kenya+mama yake Tanganyika) asili yake India.
Barrack Obama ni mzawa wa Marekeni, baba Mkenya, mama Mmarekani.
Guy Scott (mzungu) kawahi kuwa makamu wa Rais Zambia na kabla ya hapo alikuwa waziri wa Kilimo.
Hao tunawaona kwa jicho la "kwanini", wengi wao mbona walizaliwa hapa? Unless kama kuna evidence beyond measure wanatuhujumu, basi wahukumiwe kwa dhambi ya hujuma na sio "rangi ya ngozi" au asili.
Mbona huko nyuma tumepigwa Kagoda, Tegeta Escrow, Meremera, Richmond, kuzalisha mvua za "mchongio" kwa mabomu toka Thailand, rada mbovu ya mchongo na watu wakavuta vijisenti na kuvificha Jersey.
Yote haya mbona yalifanywa na wengine ambao asili yao ni hapahapa.
Hoja ya CDF ina mashiko, ila tusijitumbukize kwenye ubaguzi ambao hauna mashiko.
Kwa wale wanaosoma biblia, Yusuf kawahi kuwa waziri mkuu Misri (second in command nchi ya ugeni) na mafanikio yake ilikuwa na set-up of food reserve system wakati wa neema ya miaka 7 ili wakati wa msoto wa njaa, Misri isihangaike kwa kukosa chakula.
Daniel, aliwahi kuwa Mkuu wa magavana wa nchi ya Babel enzi Nebkadneza, Belshaza, Darius na Cyrus.
Watanzania, tunamkubali sana CDF, ila tukumbuke toka enzi ya Nyerere tulikuwa na akina Amir Jamal, Bryceson wakiwa mawaziri enzi za Nyerere aliekuwa mzalendo kwelikweli.
Kila la heri Watanzania kwenye kuvumiliana, maana kuna namna tuna ndugu na jamaa hapahapa na nje ya hapa, na bado tunabaki na Utanzania