Kwenda wewe. Mnajifanya mnajuwa kumbe hamjuwi lolote.Faiza Kaa kimya 🤐 chutama chutama. Bora ukaye kimya tu.
Njaa tu zinawasumbua, pambaneni na hali zenuIdara ya uhamiaji ya Tanzania inadaiwa wamejaa Wakenya! How come tunaruhusu haya..afu Wakenya wenyewe waliopo wengi ni TOP. (But Anna ni mtu wa kusini).
Idara ambayo ni mama ya inchi kama uhamiaji wanadaiwa wameajiri Wakenya tena top position. Ndiyo maana unakuta kazi hata ndogo km hotel wapo wao hapo EAC ni wao tu.
Ebu tufukirie yatuatayo!
Namba 4 Kuna tetesi siyo wa kwetu..wanasema anatoka Kwa MR Pk. Hata namba 2 kiasili siyo wetu. Ulikuwaje hadi mfumo ukampitisha namba 2 wakati siyo wetu...Je mfumo nao upo compromised.
Namba 4 aliongoza madini je madini yetu yapo salama? Namba 4 leo yupo umemeni Je imekuaje?
Mh. Rais tafadhali fanyia kazi haya. Kuna watu wanajifanya ni wahaya au wasukuma kwenye cabinet ila ni wa Kule.
leo umeme hamna..SGR inapelekwa Rwanda badala ya Kongo? How .! Kwann tusiimarishe bandari yetu ya Kigoma. Mzigo ukitoka Dar unaenda Kigoma unapitia lake Tanganyika unafika Kongo why lazma upite Rwanda.
Hivi why kila siku kesi tunashitakiwa na kushindwa.. why.?
CDF Asante sana.
Rais tusaidie.
Ukisoma historia ya Tanzania, Mwalimu J.K Nyerere alipata tabu sana kuwafundisha Watanzania dhana ya uraia.Njaa tu zinawasumbua, pambaneni na hali zenu
Hakuna kitakachobadilika, No 4 ataendelea kupeta wakati wewe hata mlo mmoja ni mgogoro
Labda kwakuwa huko uhamiaji kuna muingiliano na watu wa kutoka mataifa mbalimbali, hivyo wafanyakazi wake (uhamiaji) wanatakiwa wajue kukata mayai, na sisi mayai hayapandi, ndo wakachukuliwa wakenya. Wenzetu wakenya wanakata mayai balaa, angalia shule nyingi za inglishi midiam hapa kwetu, walimu wengi ni wakenya! Jamani tukienda shule tusome, sio kung'aa ng'aa macho tu, itafikia wakati hata mahausi geli watakuwa wakenya!Idara ya uhamiaji ya Tanzania inadaiwa wamejaa Wakenya! How come tunaruhusu haya..afu Wakenya wenyewe waliopo wengi ni TOP. (But Anna ni mtu wa kusini).
Idara ambayo ni mama ya inchi kama uhamiaji wanadaiwa wameajiri Wakenya tena top position. Ndiyo maana unakuta kazi hata ndogo km hotel wapo wao hapo EAC ni wao tu.
Ebu tufukirie yatuatayo!
Namba 4 Kuna tetesi siyo wa kwetu..wanasema anatoka Kwa MR Pk. Hata namba 2 kiasili siyo wetu. Ulikuwaje hadi mfumo ukampitisha namba 2 wakati siyo wetu...Je mfumo nao upo compromised.
Namba 4 aliongoza madini je madini yetu yapo salama? Namba 4 leo yupo umemeni Je imekuaje?
Mh. Rais tafadhali fanyia kazi haya. Kuna watu wanajifanya ni wahaya au wasukuma kwenye cabinet ila ni wa Kule.
leo umeme hamna..SGR inapelekwa Rwanda badala ya Kongo? How .! Kwann tusiimarishe bandari yetu ya Kigoma. Mzigo ukitoka Dar unaenda Kigoma unapitia lake Tanganyika unafika Kongo why lazma upite Rwanda.
Hivi why kila siku kesi tunashitakiwa na kushindwa.. why.?
CDF Asante sana.
Rais tusaidie.
Acha ukilaza raia wa namna hiyo hastahili cheo cha uraišKama mtu ni WA nchi na amekana uraia WA nchi akachukua uraia WA TZ ni haki yake kuwa hapa na anastahili cheo chochote
Nasikia jirani zetu, kanchi kadogo tu, pamoja na kupitia misukosuko mingi, lakini sasa hivi mambo yao yamenyooka; elimu, uchumi, huduma kwa jamii, nk. Vipi wenzetu hawa nao wana muingiliano (kwenye uongozi) wa watu kutoka mataifa mbalimbali?Sifa mojawapo ya mtu masikini ni wivu uliopitiliza. Sasa kama mtu kawa raia hata wa kuomba tu, kunashida gani akipata uongozi?
Embu acheni xenophobia, ingekuwa nyadhifa kama ya urais kweli tungeongea lakini hayo mengine hamna shida.
Dunia kwa sasa inakwenda kasi, kama bado waishi kama mkoloni lazima itakushinda.
Tunapoelekea miaka ya mbele kutakuwa na uraia pacha ni suala la muda tu. Nahisi tukifikia hiyo steji utajirusha ghorofani kuona mtu anauraia wa Gambia na Tanzania halafu kawa waziri.
Nadhani tujikite kwenye kuangalia taaluma na uwezo wa mtu katika kufanya kazi ndio tutapata maendeleo ya kweli na sio kuweka viraza kwenye position fulani kisa tu ni Mtanzania wa kuzaliwa.
Wenzetu wanatumia njia hiiNasikia jirani zetu, kanchi kadogo tu, pamoja na kupitia misukosuko mingi, lakini sasa hivi mambo yao yamenyooka; elimu, uchumi, huduma kwa jamii, nk. Vipi wenzetu hawa nao wana muingiliano (kwenye uongozi) wa watu kutoka mataifa mbalimbali?
Kwa maslahi ya nchi aliyoikanaKama mtu ni WA nchi na amekana uraia WA nchi akachukua uraia WA TZ ni haki yake kuwa hapa na anastahili cheo chochote
Angenda ya CDF ina mashiko sana.Idara ya uhamiaji ya Tanzania inadaiwa wamejaa Wakenya! How come tunaruhusu haya..afu Wakenya wenyewe waliopo wengi ni TOP. (But Anna ni mtu wa kusini).
Idara ambayo ni mama ya inchi kama uhamiaji wanadaiwa wameajiri Wakenya tena top position. Ndiyo maana unakuta kazi hata ndogo km hotel wapo wao hapo EAC ni wao tu.
Ebu tufukirie yatuatayo!
Namba 4 Kuna tetesi siyo wa kwetu..wanasema anatoka Kwa MR Pk. Hata namba 2 kiasili siyo wetu. Ulikuwaje hadi mfumo ukampitisha namba 2 wakati siyo wetu...Je mfumo nao upo compromised.
Namba 4 aliongoza madini je madini yetu yapo salama? Namba 4 leo yupo umemeni Je imekuaje?
Mh. Rais tafadhali fanyia kazi haya. Kuna watu wanajifanya ni wahaya au wasukuma kwenye cabinet ila ni wa Kule.
leo umeme hamna..SGR inapelekwa Rwanda badala ya Kongo? How .! Kwann tusiimarishe bandari yetu ya Kigoma. Mzigo ukitoka Dar unaenda Kigoma unapitia lake Tanganyika unafika Kongo why lazma upite Rwanda.
Hivi why kila siku kesi tunashitakiwa na kushindwa.. why.?
CDF Asante sana.
Rais tusaidie.
Faiza ana asili ya somaliaFaiza Kaa kimya 🤐 chutama chutama. Bora ukaye kimya tu.
Si kweliKama mtu ni WA nchi na amekana uraia WA nchi akachukua uraia WA TZ ni haki yake kuwa hapa na anastahili cheo chochote
Unataka kuniambia mtu aliyezaliwa hapa ana uzalendo kuliko aliyezaliwa kwingine akachukua uraia WA TZ. hivi mafisadi wote waliozaliwa TZ na wakafilisi nchi hii(bila kutaja majina) ni wazalendo?Kwa maslahi ya nchi aliyoikana
Kilaza ni ww unayeamini kuzaliwa Tandale kutakufanya uwe mzalendo...Acha ukilaza raia wa namna hiyo hastahili cheo cha uraiš
Ingetakiwa asipewe cheo chochote
No no no.Sema 4 hata kama sio mtz ila ni bonge la Mfia Tanzania
Oman.Faiza ana asili ya somalia
Kuna idara nyingine nyeti sana pia zimejaa hao wahamiaji na wana nyaraka zote halaliIdara ya uhamiaji ya Tanzania inadaiwa wamejaa Wakenya! How come tunaruhusu haya..afu Wakenya wenyewe waliopo wengi ni TOP. (But Anna ni mtu wa kusini).