Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 854
- 1,296
- Thread starter
- #41
Baadala ya kuwawezesha wananchi waingie kwenye sector zenye tija kama madini na viwanda wenyewe wanawakamua kwa Tozo.Pesa inatoka kwao bro,
Tukienda kukopa kwa, mchina, sharti mojawapo lazima mkandarasi awe mchina, tena wanakuchagulia wao, na gharama ya kumlipa,
Pesa haiwezi kutoka china harafu mkandarasi, awe mzungu,au mturuki, hata pesa ya World Bank ni hivyo hivyo,
Ili wakandsrssi wetu wapate kazi, pesa inabidi itoke hazina,sasa mapato ya ndani ni machache, maaana mkipigwa tozo,mnalia Lia, sasa, mama afanyeje? Lazima ukakope kwa masharti ya mkopeshaji
Mkuu ni ngumu sana Kwa nchi kupata maendeleo kama utadharau wananchi wako
Biblia inasema
1 Timotheo 5:8
Lakini mtu yeyote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini.