Tanzania tunashindwa kuwapa miradi wazawa hadi tunawapa Wachina?

Baadala ya kuwawezesha wananchi waingie kwenye sector zenye tija kama madini na viwanda wenyewe wanawakamua kwa Tozo.

Mkuu ni ngumu sana Kwa nchi kupata maendeleo kama utadharau wananchi wako

Biblia inasema
1 Timotheo 5:8
Lakini mtu yeyote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini.
 
Kwa staili hii jwtz wamepewa komoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…