Habari iwafikie Taifa Stars na washirika wake wanaosema,tunahitaji uzoefu wakati Madagascar ni mara ya kwanza lakini inasonga,na kuingia robo fainali
Tuseme ukweli Tanzania hatuna ile ya kujitoa kwa ajili ya Taifa, tunakalia tu siasa na mbwembwe kwenye kamera
Na nishaandaa zana zangu hapa nasubiria huko kulimaWatanzania sisi sio wazalendo ndio maana kuna mzee mmoja alisema atatulimisha kwa meno.
Leo rais ndio dj wa party ya wachezaji.Nawapongeza sana madascar pamoja na rais wao
Mbona wanaingiza siasa sasa?L
Leo rais ndio dj wa party ya wachezaji.
Mbona wanaingiza siasa sasa?
Ha ha ha, rais ni mwanasiasa, hujui?Siasa gani? Hamna siasa hapo rais ameenda shangilia timu yake wakati akijua kabisa mikakati na mipango ambayo success in football imeshawekwa na imetekelezwa vilivyo.
Sio uswahili. Kwenye ile timu hamna mswahili hata mmoja pale wote wanetoka bara pale. Sema ubaraTatizo la Tanzania ni 'Uswahili' angalia nchi zinazotumia lugha za wakoloni kama lugha za taifa uone mambo yao yalivyo wima.
Ha ha ha, rais ni mwanasiasa, hujui?
Tofauti gani?Kuleta siasa na kuwa mwana siasa ni vitu viwili tofauti.
Nimeshindwa hata kuelewa ni vipi Madagascar ameweza kuingia robo fainali AFCON!! Kile ka kisiwa hakina hata ligi imara?! How?! They put us into shame!!!Habari iwafikie Taifa Stars na washirika wake wanaosema,tunahitaji uzoefu wakati Madagascar ni mara ya kwanza lakini inasonga,na kuingia robo fainali
Tuseme ukweli Tanzania hatuna ile ya kujitoa kwa ajili ya Taifa, tunakalia tu siasa na mbwembwe kwenye kamera