Tanzania tunasubiri uzoefu,Madagascar wanasonga mbele

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,448
Reaction score
7,972
Habari iwafikie Taifa Stars na washirika wake wanaosema,tunahitaji uzoefu wakati Madagascar ni mara ya kwanza lakini inasonga,na kuingia robo fainali

Tuseme ukweli Tanzania hatuna ile ya kujitoa kwa ajili ya Taifa, tunakalia tu siasa na mbwembwe kwenye kamera
 
Watanzania sisi sio wazalendo ndio maana kuna mzee mmoja alisema atatulimisha kwa meno.
 
Habari iwafikie Taifa Stars na washirika wake wanaosema,tunahitaji uzoefu wakati Madagascar ni mara ya kwanza lakini inasonga,na kuingia robo fainali

Tuseme ukweli Tanzania hatuna ile ya kujitoa kwa ajili ya Taifa, tunakalia tu siasa na mbwembwe kwenye kamera

Yaani rais wa caf wampage tuu na term ya pili...ameitendea haki nafasi yake....wee rais wa shjrikisho na timu lako linafanya vizuri.
Sio maneno ya magazetini wee mpira wenyewe hovyoooo.watu wapo serious na mikakati yao sio porojo tuu.
 
Tatizo la Tanzania ni 'Uswahili' angalia nchi zinazotumia lugha za wakoloni kama lugha za taifa uone mambo yao yalivyo wima.
Sio uswahili. Kwenye ile timu hamna mswahili hata mmoja pale wote wanetoka bara pale. Sema ubara
 
Habari iwafikie Taifa Stars na washirika wake wanaosema,tunahitaji uzoefu wakati Madagascar ni mara ya kwanza lakini inasonga,na kuingia robo fainali

Tuseme ukweli Tanzania hatuna ile ya kujitoa kwa ajili ya Taifa, tunakalia tu siasa na mbwembwe kwenye kamera
Nimeshindwa hata kuelewa ni vipi Madagascar ameweza kuingia robo fainali AFCON!! Kile ka kisiwa hakina hata ligi imara?! How?! They put us into shame!!!
 
Tusife moyo tushapata uzoefu
Ngoja tusubir AFCON ijayo kama kutakuwa na kisingizio kingine..
 
Tumejifunza hata sisi michuano ijayo inshaallah tutafanya vyema!!
 
Back
Top Bottom