Tanzania tunatakiwa kuwa na Marefa MAKINI kama yule wa fainali ya Caf - Zanzibar

Tanzania tunatakiwa kuwa na Marefa MAKINI kama yule wa fainali ya Caf - Zanzibar

Yule refa hakuwa makini, ila unachokielezea kwa muktadha wa Tanzania ni No Reforms No Election.
 
Overrated. Tatu au Smart angeimudu mechi ya fainali ya CAF vizuri zaidi.
 
Kwa hiyo Simba akifungwa refa hafai amekula hongo hivyo ni lazima Simba ishinde ili ndo haki ionekane imetendeka. Bure kabisa.
 
Kwa hiyo Simba akifungwa refa hafai amekula hongo hivyo ni lazima Simba ishinde ili ndo haki ionekane haki imetendeka. Bure kabisa.
Kwenye game ya leo dhidi ya Singida,
Simba wanarudi kwenye utaratibu wao wa kubebwa na Marefa . Leo mchezaji wa Simba akijikwaa tu refa atawapa penalty
 
Back
Top Bottom