Tanzania tunatumia bidhaa gani toka Marekani? Dollar ya kazi gani?

Tanzania tunatumia bidhaa gani toka Marekani? Dollar ya kazi gani?

Usishangae kuona hivyo. Tambua yakuwa USD ndio means of exchange ya biashara na ....ing katika miamala ya ndani. Ila bado wafanyabiashara wanapendelea USD kwasababu inwa TZS ndo maana kuna watu wanasema TZS ni fedha ya madafu . Kwahiyo usishangae kuona watu wanapenda USD.
Leo hii marekani akiamua kujichapishia madollar yake vile anavyotakabthen akaja bongo kununua ng'ombe wrote tulionao na kutuacha maskini tunamzuiaje. And how do we know hafanyi hivyo on a moderated scale na kututia umaskini. Wanajichaposhia makaratasi na kuja kutalii bongo na dollar zao. If they get good and services internationally for their papers then they should also give goods and services internationally for their bills (contract), other wise wanatuibia!
 
Usiwe mbishi. UnaNaw kutumia google kupata jibu na sio kuangalia porn.

Kifupi ni kwamba biashara zote za kimataifa lazima zihusike pesa za kimataifa kama Euro, Pound au Dollar.

Hata ukiagiza maembe hapo Kenya lazima utumie moja kati ya pesa hizo hapo juu.

Kwa kuwa Dollar zinapatikana kirahisi na zinaqualify kuwa 'vehicle currency' ndio maana biashara nyingi wanatumia dollar.

Hujawahi kuona hata tiketi za ndege za nchi nyingi wanaweka kwa dollar?

Huko China utapata kila huduma kwa kutumia Dollar.
Umekariri vibaya, naweza agiza maembe Kenya kwa Kenyan shillings. Kule China naweza pata huduma zote kwa Yuan.
 
Hivi marekani from noehere wakachapisha let's say dollar trillion 100 wakasema wanaitaka Kigamboni tunawazuiaje wasiinunue? Watupe karatasi sisi tuwape ardhi
Usisahau noti ni karatasi tu ila imepewa mamlaka. Hata iandikwaje kama imenyan'ganywa mamlaka au nguvu haina maana. Ni kama kuwa na noti ya 10000 ya zamani utaitumia wapi wakati haina tena uhalali!?
Biashara ni kutengeneza faida kwa hiyo utaangalia faida na hasara ya kufanya au kutofanya biashara hiyo.
 
Usisahau noti ni karatasi tu ila imepewa mamlaka. Hata iandikwaje kama imenyan'ganywa mamlaka au nguvu haina maana. Ni kama kuwa na noti ya 10000 ya zamani utaitumia wapi wakati haina tena uhalali!?
Biashara ni kutengeneza faida kwa hiyo utaangalia faida na hasara ya kufanya au kutofanya biashara hiyo.
Kumbuka dollar inatumika kote duniani hivyo athari ya kuchapisha pesa inasambaa kote duniani. Tunawadhibiti vipi wasichapishe pesa zaidi ya bidhaa na huduma walizozalisha?
 
Kila mahali watu wana gombania dollar ya kimarekani , lakini cha kushangaza hanunui toothpick, simu, gari wala hata kahawa kutoka marekani. Vitu kama hajanunua China, basi atanunua Japan, la sivyo atanunua vya humu Tanzania. Sasa hii shobo ya kutaka dollar ni ya nini? Kwanini msitake Chinese Yuan au Japanese Yen kwenye bureau offices, au China na Japan hukataa pesa yao wenyewe?! Hivi hizo dollar mnanunuliaga nini huko marekani?
Dollar Global currency .helewa hilo alafu endelea kulalamika kuanzia hapo
 
Hivi marekani from noehere wakachapisha let's say dollar trillion 100 wakasema wanaitaka Kigamboni tunawazuiaje wasiinunue? Watupe karatasi sisi tuwape ardhi
Ujue hata mimi huwa napasuka kichwa , hivi utaratibu wa uchapaji doller za kimarekani ukoje? maana duniani kote noti yao imetapakaa. wakati si kweli kuwa dunia inategemea bidhaa nyingi kutoka marekani. Mfano nchi nyingi za kiafrika zinategemea bidhaa nyingi sana toka nchi za China, Japan,india,Singapore (Asia) kwa ujumla, lkn sijaona noti za hizo nchi zikiwa zinapatikana kwa wingi kama ilivyo doller, nimejaribu kuangalia chumbani kwangu mpaka ofisini kwa boss sijakuta bidhaa kutoka marekani, nimeanda mpaka kwa majirani mta mzima nikawauliza kama kuna mwenye bidhaa kutoka marekani ndani kwake, majibu ni hakuna
 
Ujue hata mimi huwa napasuka kichwa , hivi utaratibu wa uchapajichi nyingiizo nchi sijakuta bidhaa kutoka marekani, nimeanda mpaka kwa majirani mta mzima nikawauliza kama kuna,..,..... marekani ndani kwake, majibu ni hakuna
yaan hata mimi huwa sielewei. At least pawe na usimamizi katika uchapishaji Wa dollar ili wasija wakachapisha noti nyingi zaidi ya ukuaji Wa uchumi wao, otherwise wanatunyonyaa
 
sasa km hakuna matumiz ya hizo hela.zitumike za nn??ulishawahi kusikia mafuta yanauzwa kwa yen??au yuan???hata kwa pound japo nayo inanguvu.nenda shule ndugu elimu bure au km umesoma bc utakuwa umesoma mambo ya kijamii zaidi km ni biashara ungefaham.
 
sasa km hakuna matumiz ya hizo hela.zitumike za nn??ulishawahi kusikia mafuta yanauzwa kwa yen??au yuan???hata kwa pound japo nayo inanguvu.nenda shule ndugu elimu bure au km umesoma bc utakuwa umesoma mambo ya kijamii zaidi km ni biashara ungefaham.

Siku nyingine acha tabia ya kukurupukia kucomment usiyoyajua
 
Cc faiza foxy hunaga msaada hata kidogo,you should answer the question and stop mambo yako ya Siasa,Hamna Samsung,lg,daladala za MTU wa los angels Miami au washington,unga mafuta used car n Japan pikpik in china chapati zote za maalimu bakheresa kama net na matangazo ya condomu yote ni msaada toka kwa watu wa usa .why are we using american dola that is fucken question ikiwa soda bia hotel zote makubwa n watz
 
tatizo huna elimu ya biashara.hilo nalo laweza kuwa jipu
 
Back
Top Bottom