mzeewangese
JF-Expert Member
- Feb 11, 2016
- 643
- 499
Asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu hawa jamaa wakihadithiwa kitu huko street basi wanakurupuka kuja kuanzisha thread za ajabu hapahahaha! kama unaweza kutumia JF, basi hata jibu unaweza kupata mtandaoni. wacha ujinga. tafuta utambue nguvu ya dola katika biashara ya ulimwengu. hujaona china amekomaa pesa yake itambulike na IMF kibiashara? ina maana yake, itafute. tafuta ujue ni pesa zipi zinatambulika na IMF kibiashara na kwa nini USD ni zaidi ya zote!
kwani mkuu yuan,yen na dollar ni pesa ipi ina thamani kubwa kuliko zingize? kwanza hiyo yuan unayotaka mkuuiko controlled sana na benki ya china,haiminiki kabisa hasa kwa mchezo wa wachina kudevalue thamani yake pindi uchumi wa china ukienda kombo,mkuu ndani ya miez sita tu iliopita wamedevalue thaman yao kama mara mbili hvi,uzuri wa US dollar kwanza inatumika zaid kwenye transactions za kibiashara kuliko pesa nyingine pia value yake iko stable sana,usickie kelele za wachina na russia kutaka kuacha kutumia dollar zile ni propaganda za kutaka kiuvuruga marekani kwenye dominance ya dollar kwenye trade,so kutumia dollar c mpk uwe unataka kufuata bidhaa usKila mahali watu wana gombania dollar ya kimarekani , lakini cha kushangaza hanunui toothpick, simu, gari wala hata kahawa kutoka marekani. Vitu kama hajanunua China, basi atanunua Japan, la sivyo atanunua vya humu Tanzania. Sasa hii shobo ya kutaka dollar ni ya nini? Kwanini msitake Chinese Yuan au Japanese Yen kwenye bureau offices, au China na Japan hukataa pesa yao wenyewe?! Hivi hizo dollar mnanunuliaga nini huko marekani?
Kwa hiyo mkuu unamaanisha federal reserve does not simply supply govt economy with money bali supply inafanyika kwa njia ya mkopo kupitia hizo Govt bonds!? Au sijakuelewa vizuri mkuu!? Kama ndivyo serikali inapata wapi tena fedha ya kupay hiyo debt au simply kubuy back its bonds ukizingatia federal reserve ni monopoly kweny production of currency kama ulivyotufahamisha hapo mkuu!?US treasure ndo ina print money,lakini hizo pesa huenda federal reserve ambao ndo wana mamlaka ya kuamua kiasi gani kiingia katika mzunguko,serikali ya marekani haina mamlaka ya kuamua.
Pia hiyo federal reserv ni private entity.
Na hawatoi tu pesa kwa serikali,kinachofanyika wao federal reserve wananunua government bonds in exchange for money,
wananunua kupitia open market kama mabank ya biashara ambayo yanakua yanashikilia government bond na yanazioffload kwa federal reserve in exchange for money na kwanjia hiyo noti mpya zinaingia katika mzunguko.
Hakuna suala eti wanaprint pesa na kujaza katika makontena na kuzipeleka serikalini
ndo maana henry ford aliwahi kusema,"kama wananchi wangekuwa wanajua hasa nini kinafanyika katika mfumo wetu wa finance,wananchi wangeasi"Asante Elungata. But do you trust the private entity? Don't u think the system can be easily manipulated?
yeah,serikali inapopungukia na hela ambazo source kubwa ni kodi,inachofanya ni kuissue bond.Kwa hiyo mkuu unamaanisha federal reserve does not simply supply govt economy with money bali supply inafanyika kwa njia ya mkopo kupitia hizo Govt bonds!? Au sijakuelewa vizuri mkuu!? Kama ndivyo serikali inapata wapi tena fedha ya kupay hiyo debt au simply kubuy back its bonds ukizingatia federal reserve ni monopoly kweny production of currency kama ulivyotufahamisha hapo mkuu!?
Hapa mkuu nimekupata ila bado kuna kaukakasi! Yaani federal reserve wanatengeneza pesa kisha wanaziishu kwa govt kupitia bond, kupitia govt bonds serikali inapromise kulipa interest katika kila baada ya kipindi fulani kisha baada ya maturity wanalipa face value yote (yaani wanarudisha tena hizo notes federal reserve au!?) Au kwa njia nyingine federal reserve inaziuza bond kwa commercial banks (kwa nini waziuze wakati wao ndio waloissue note)yeah,serikali inapopungukia na hela ambazo source kubwa ni kodi,inachofanya ni kuissue bond.
Kwahiyo federal reserve wanaswap kipande cha kijani cha karatasi yaani noti kwa kipande cha rangi ya pink yaani US bond,
hizo bond hutolewa katika open market na federal reseve ndo wanatoa noti kwa kubadilishana na hizo bond.
Yeah huwa inafikia tena hawa federal reserve wanauza hizo bond either katika commercial banks au katika open market,ujuavyo bond zinakuwa na interest na hiyo interest eti ndo inacover cost za kurun federal reserve
mkuu kumbuka shareholder wa hii federal bank ni hizo commercial banks.Hapa mkuu nimekupata ila bado kuna kaukakasi! Yaani federal reserve wanatengeneza pesa kisha wanaziishu kwa govt kupitia bond, kupitia govt bonds serikali inapromise kulipa interest katika kila baada ya kipindi fulani kisha baada ya maturity wanalipa face value yote (yaani wanarudisha tena hizo notes federal reserve au!?) Au kwa njia nyingine federal reserve inaziuza bond kwa commercial banks (kwa nini waziuze wakati wao ndio waloissue note)
Yaani mkuu bado sijaelewa nachoona hapa federal reserve wanasupply pesa kwa serikali in exchange with bonds then serikali inalipa tena pesa (interest + full face value @ maturity) kwa federal reserve sasa si mchezo wa ajabu huo mkuu
hahahahahahaha hii ni noma aise hehehehe........Jibu swali sio ubwabwaje na rinda lako la kibibi bibi
mkuu kumbuka shareholder wa hii federal bank ni hizo commercial banks.
Sasa serikali inapotoka pesa inazitoa bonds zao ili ziuzwe ipate hela.
Federal reserve watanunua hizo bond,serikali inapata hela,
tena federal reserve wanaweza kuziuza kwa mabenki ya biashara kupitia kile kinaitwa OPEN MARKET OPERATIONS,
Open market operation is when federal reserve buy or sell securities such as treasure bonds from its members banks,this is a major tool the Fed use to raise or lower interest rate.
Pia hizo bond serikali inaweza uza kwa yeyote mfano mifuko ya jamii ambayo kwa sasa ndo yanaidai marekani kuliko entity yeyote.
Ama kuuza kwa mataifa ya nje mfano china ama japan ambao wanashikilia bonds za marekani za karibu trilion 3 usd.
Kwahiyo mfano china wanaoshikilia hizo bond wako huru kuzioffload kwenye market mda wowote wanapojisikia
Sieleweki swali langu au..?
si kunakua na mnada wa hizo bond,nadhani wanunuzi wakuu ni hao cormercial banks ambao watacash in kwa federal reserve.Hapo sasa nimeanza kuelewa yaani srikali inauza bond ipate hela na yule aliyeuziwa anaweza kuziuza popote nae apate hela ila sasa na huyo anaeuziwa nae anazifanyia nini yaani mf hao japani na china wanaoshikilia hizo bond wanaweza kuzioffload kweny maket huyo atakaeuziwa je au ndio kusema anazipeleka tena kwa usgovt zinapomature ili apate chake . Na vipi kuhusiana na hoja ya mdau mmoja hapo juu kwamba federal reserve inaweza kumanipulate money supply ya us na ikawa na effect dunia nzima
Wanapo invest Africa let's say kwenye mabarabara na madaraja, returns wanazipataje.., au ni Mikopo wanatupa tena yenye riba?si kunakua nareserve kubwa ya dollar zimek.........
Japo inawezekana kwani hata china wanaposhusha thamani ya yuan makusudi,uchumi wa dunia huwa unapata shock