Tanzania tunatumia bidhaa gani toka Marekani? Dollar ya kazi gani?

Tanzania tunatumia bidhaa gani toka Marekani? Dollar ya kazi gani?

Usiwe mbishi. Unaweza kutumia google kupata jibu na sio kuangalia porn.

Kifupi ni kwamba biashara zote za kimataifa lazima zihusike pesa za kimataifa kama Euro, Pound au Dollar.

Hata ukiagiza maembe hapo Kenya lazima utumie moja kati ya pesa hizo hapo juu.

Kwa kuwa Dollar zinapatikana kirahisi na zinaqualify kuwa 'vehicle currency' ndio maana biashara nyingi wanatumia dollar.

Hujawahi kuona hata tiketi za ndege za nchi nyingi wanaweka kwa dollar?

Huko China utapata kila huduma kwa kutumia Dollar.
We Jamaa mbona una mdomo hivo, hivi una elimu kiasi gani unayijitapa nayo hum? Kumuelekeza mtu bila kumnanga utapungukiwa nini? Kama hujui si unakaa kimya tu, kwani lazima uchangie kila kitu
 
kuna kitu kinaitwa petrodolar hiki ndio kilimuua Gadhaf pale alipotaka mafuta yake yaanzwe kuuzwa kwa dhahabu
Hapo ingekuwa safi sana, nipe dhahabu nikupe mafuta, sio uchapishe minoti yako huko halafu unakuja kutupora rasilimali huku Africa
 
Unahitaji msaada wa "elimu dunia" maana na ya dini nina shaka kama imekukaa sawa sawa.
 
Update: 03/08/2019
Hatimaye ukweli umegundulika, kumbe Marekani ilikuwa inachapisha dollar nyingi kuliko ukuaji halisi wa uchumi wai na kwenda kuzisambaza duniani, na kwa kuwa kila kitu kinakuwa traded in dollar le shock ilikuwa inabebwa na mataifa mengine yanayotumia dollar kama base curreny. Sasa Marekani ili kuendelea kumaintain a high standard of life kwa wananchi wake imejikuta ikichapisha Trillions of dollars hewa ambazo kiuhalisia hazina back up ya dhahabu au mali yoyote ile ya ku-support hayo makaratasi wanayochapisha, ni kama wanaikopa dunia, kiasi kama wote tukisema turudishe dollar tulizonazo kwa serikali ya marekani ili iwezu redeemed kwa dhahabu ay mali zingine ni kwamba kutakuwa na excess ya dollar Trillion 22 ambazo zitakosa mali za kuwa redeemed with, yaani hawa mbwa wanaishi kwa kuchapisha pesa tu, hawafanyi kazi, ni wanaikopa dunia!
 
Hoja yako ni ya msingi sana ndugu sema kuna mataira watakuja na utahira wao apa kijifanya wako sahihi zaidi kwa elimu yao ya Ontario hahaha

Naunga mokono hoja lakin kwa nyongeza ya maelezo tofauti na yoko nitarudi
 
Jamani elimu ni muhimu sana.

Madhara ya shule za kujazwa ujinga yanajionesha wazi kwenye huu uzi.
Hapo wa kulaumiwa ni CCM na serikali kwa kueneza ujinga na umasikini nchini
 
Hoja yako ni ya msingi sana ndugu sema kuna mataira watakuja na utahira wao apa kijifanya wako sahihi zaidi kwa elimu yao ya Ontario hahaha

Naunga mokono hoja lakin kwa nyongeza ya maelezo tofauti na yoko nitarudi
Maelezo ya ziada kushibisha hoja ni vizuri, fanya hivyo
 
Marekani wanachapisha Trillions of dollars zaidi ya ukuaji wa uchumi wake ili kukabiliana na athari za COVID-19, dollar hatarini kudevalue
 
Kila mahali watu wana gombania dollar ya kimarekani , lakini cha kushangaza hanunui toothpick, simu, gari wala hata kahawa kutoka marekani. Vitu kama hajanunua China, basi atanunua Japan, la sivyo atanunua vya humu Tanzania. Sasa hii shobo ya kutaka dollar ni ya nini? Kwanini msitake Chinese Yuan au Japanese Yen kwenye bureau offices, au China na Japan hukataa pesa yao wenyewe?! Hivi hizo dollar mnanunuliaga nini huko marekani?
================================
Update: 03/08/2019
Hatimaye ukweli umegundulika, kumbe Marekani ilikuwa inachapisha dollar nyingi kuliko ukuaji halisi wa uchumi wai na kwenda kuzisambaza duniani, na kwa kuwa kila kitu kinakuwa traded in dollar le shock ilikuwa inabebwa na mataifa mengine yanayotumia dollar kama base curreny. Sasa Marekani ili kuendelea kumaintain a high standard of life kwa wananchi wake imejikuta ikichapisha Trillions of dollars hewa ambazo kiuhalisia hazina back up ya dhahabu au mali yoyote ile ya ku-support hayo makaratasi wanayochapisha, ni kama wanaikopa dunia, kiasi kama wote tukisema turudishe dollar tulizonazo kwa serikali ya marekani ili iwezu redeemed kwa dhahabu ay mali zingine ni kwamba kutakuwa na excess ya dollar Trillion 22 ambazo zitakosa mali za kuwa redeemed with, yaani hawa mbwa wanaishi kwa kuchapisha pesa tu, hawafanyi kazi, ni wanaikopa dunia!

La maana uwe na viwanda vingi (vya kisasa) ili uweze kuuza kwa wingi nje
 
Usishangae kuona hivyo. Tambua yakuwa USD ndio means of exchange ya biashara na miamala ya kimataifa. Dollar economy ndiyo inatawala dunia, hakuna TZS, ¥, €, £, Yuan, Russian rubble etc. BOT wanasimamia miamala yote na miamala ya kitaifa inatakiwa itumie TZS, ila miamala ya kimataifa lazima tutumie USD na BOT hawawezi kulazimisha matumizi ya TZS katika miamala ya kimataifa. Hii ni kwasababu ya dollar economy/ dollar supremacy.

Warusi wenyewe wanaangaika kuipiku dollar economy baada ya kuwa wanawekewa vikwazo Mara kwa Mara pia wanapotumia USD wanaimarisha zaidi fedha ya marekani. wamejitahidi ila wapi, na Unaijua urusi ni taifa kubwa kiuchumi, kijeshi, kiteknolojia nk... ila hawawezi kuondoa dollar supremacy sasa wewe unataka tuiondoe eti kwa sababu hatutumii bidhaa nyingi kutoka marekani, unafikiri tutaweza???

Huku TZS inaporomoka thamani kila siku ingawa BOT wanajitahidi kusimamia matumizi ya shilling katika miamala ya ndani. Ila bado wafanyabiashara wanapendelea USD kwasababu inanguvu na inaimarika kila siku kuliko TZS. Bado ukienda kwenye mabenk ukiweka fixed deposit kwa fedha ya kigeni hususani UK pounds, Euro, USD unapata interest kubwa kuliko kuweka kwa TZS ndo maana kuna watu wanasema TZS ni fedha ya madafu . Kwahiyo usishangae kuona watu wanapenda USD.
Hujui basics na historia ya currency nyamaza tu. Hujui hata kwann tume end up na different currency. Au unafikiri rich nations wanakupenda sana wawe waaminifu kwako.
Unakuja na mi details miingi kuitetea dollar kumbe hujui real economics zinaoperate vipi
 
Leo hii marekani akiamua kujichapishia madollar yake vile anavyotakabthen akaja bongo kununua ng'ombe wrote tulionao na kutuacha maskini tunamzuiaje. And how do we know hafanyi hivyo on a moderated scale na kututia umaskini. Wanajichaposhia makaratasi na kuja kutalii bongo na dollar zao. If they get good and services internationally for their papers then they should also give goods and services internationally for their bills (contract), other wise wanatuibia!
Saaaaaaaaafi mkuu. Unajua unachooongea. Safi sana. Watu kama hawatakuelewa hapa wanahitaji msaada mkubwa sana
 
Ujue hata mimi huwa napasuka kichwa , hivi utaratibu wa uchapaji doller za kimarekani ukoje? maana duniani kote noti yao imetapakaa. wakati si kweli kuwa dunia inategemea bidhaa nyingi kutoka marekani. Mfano nchi nyingi za kiafrika zinategemea bidhaa nyingi sana toka nchi za China, Japan,india,Singapore (Asia) kwa ujumla, lkn sijaona noti za hizo nchi zikiwa zinapatikana kwa wingi kama ilivyo doller, nimejaribu kuangalia chumbani kwangu mpaka ofisini kwa boss sijakuta bidhaa kutoka marekani, nimeanda mpaka kwa majirani mta mzima nikawauliza kama kuna mwenye bidhaa kutoka marekani ndani kwake, majibu ni hakuna
Kwa kifupi wamarekani hawafanyi kazi. Wanakula bata, pombe, starehe, sports, kuimba imba na kuigiza kwa wingi. Wanaishi kiujanja ujanja kinoma. So haishindikani kufanya kitu kama hicho
 
Nasoma comments za watu kwa kweli nasikitishwa sanaa. Watu dharau kejeli sanaa ilhali wao ni mburululaz wa kutupa na wengi humu ni makubwa jinga tu. Ivi kwann mtu usiwe mwanamme na kujibu hoja kisomi/uweledi zaidi instead mtu anamshambulia mleta mada, ukiwa challenge kidogo wanapotea kimya kimya.

Binafsi nina shule ya kutosha sanaa tu in this field ila kuna mambo mpaka leo nashindwaga elewa.....mleta mada ameanzisha hoja ya msingi sanaaa. Ni vyema kuchangia with facts nd in a logical way. Hujui piga kimya.

Mtu kama hujui au kujielewa unachoongea tafuta kitabu

" The Economics of Money, Banking & Capital Markets "

Ukisha kimaliza ndio uje uandike pumba zako humu. Before u think u know everything, there was a time u knew nothing. So if u aint kno shit, SHUT THA F*CK UP !!!
Acha kum attack mleta mada. We ongea fact watu wakuelewe
 
Back
Top Bottom