Tanzania tunatumia bidhaa gani toka Marekani? Dollar ya kazi gani?

Leo hii marekani akiamua kujichapishia madollar yake vile anavyotakabthen akaja bongo kununua ng'ombe wrote tulionao na kutuacha maskini tunamzuiaje. And how do we know hafanyi hivyo on a moderated scale na kututia umaskini. Wanajichaposhia makaratasi na kuja kutalii bongo na dollar zao. If they get good and services internationally for their papers then they should also give goods and services internationally for their bills (contract), other wise wanatuibia!
 
pia hata .......na na Japan acheki kwa mtandao price yake ipo kwa USD.
Kwa hiyo China na Japan hukataa pesa yao wenyewe? Ukienda Japan kununua gari kwa JP Yen watakukatalia?!
 
Umekariri vibaya, naweza agiza maembe Kenya kwa Kenyan shillings. Kule China naweza pata huduma zote kwa Yuan.
 
Hivi marekani from noehere wakachapisha let's say dollar trillion 100 wakasema wanaitaka Kigamboni tunawazuiaje wasiinunue? Watupe karatasi sisi tuwape ardhi
Usisahau noti ni karatasi tu ila imepewa mamlaka. Hata iandikwaje kama imenyan'ganywa mamlaka au nguvu haina maana. Ni kama kuwa na noti ya 10000 ya zamani utaitumia wapi wakati haina tena uhalali!?
Biashara ni kutengeneza faida kwa hiyo utaangalia faida na hasara ya kufanya au kutofanya biashara hiyo.
 
Kumbuka dollar inatumika kote duniani hivyo athari ya kuchapisha pesa inasambaa kote duniani. Tunawadhibiti vipi wasichapishe pesa zaidi ya bidhaa na huduma walizozalisha?
 
Dollar Global currency .helewa hilo alafu endelea kulalamika kuanzia hapo
 
Hivi marekani from noehere wakachapisha let's say dollar trillion 100 wakasema wanaitaka Kigamboni tunawazuiaje wasiinunue? Watupe karatasi sisi tuwape ardhi
Ujue hata mimi huwa napasuka kichwa , hivi utaratibu wa uchapaji doller za kimarekani ukoje? maana duniani kote noti yao imetapakaa. wakati si kweli kuwa dunia inategemea bidhaa nyingi kutoka marekani. Mfano nchi nyingi za kiafrika zinategemea bidhaa nyingi sana toka nchi za China, Japan,india,Singapore (Asia) kwa ujumla, lkn sijaona noti za hizo nchi zikiwa zinapatikana kwa wingi kama ilivyo doller, nimejaribu kuangalia chumbani kwangu mpaka ofisini kwa boss sijakuta bidhaa kutoka marekani, nimeanda mpaka kwa majirani mta mzima nikawauliza kama kuna mwenye bidhaa kutoka marekani ndani kwake, majibu ni hakuna
 
Ujue hata mimi huwa napasuka kichwa , hivi utaratibu wa uchapajichi nyingiizo nchi sijakuta bidhaa kutoka marekani, nimeanda mpaka kwa majirani mta mzima nikawauliza kama kuna,..,..... marekani ndani kwake, majibu ni hakuna
yaan hata mimi huwa sielewei. At least pawe na usimamizi katika uchapishaji Wa dollar ili wasija wakachapisha noti nyingi zaidi ya ukuaji Wa uchumi wao, otherwise wanatunyonyaa
 
sasa km hakuna matumiz ya hizo hela.zitumike za nn??ulishawahi kusikia mafuta yanauzwa kwa yen??au yuan???hata kwa pound japo nayo inanguvu.nenda shule ndugu elimu bure au km umesoma bc utakuwa umesoma mambo ya kijamii zaidi km ni biashara ungefaham.
 
sasa km hakuna matumiz ya hizo hela.zitumike za nn??ulishawahi kusikia mafuta yanauzwa kwa yen??au yuan???hata kwa pound japo nayo inanguvu.nenda shule ndugu elimu bure au km umesoma bc utakuwa umesoma mambo ya kijamii zaidi km ni biashara ungefaham.

Siku nyingine acha tabia ya kukurupukia kucomment usiyoyajua
 
Cc faiza foxy hunaga msaada hata kidogo,you should answer the question and stop mambo yako ya Siasa,Hamna Samsung,lg,daladala za MTU wa los angels Miami au washington,unga mafuta used car n Japan pikpik in china chapati zote za maalimu bakheresa kama net na matangazo ya condomu yote ni msaada toka kwa watu wa usa .why are we using american dola that is fucken question ikiwa soda bia hotel zote makubwa n watz
 
tatizo huna elimu ya biashara.hilo nalo laweza kuwa jipu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…