ni uchambuzi mzuri kutoka kwa wadau. Labda nidokezee mambo mawili.
1. Dolar imetokea wapi.
Kwenye karne ya 19 kama sikosei dhahabu ndio ilikuwa bidhaa ya kuamua mwelekeo wa uchumibwa dunia. Ni ka sababu tu ilikuwa ni bidhaa hadimu. Na wamarekani walipambana kuhakikisha kuwa dola inakuwa chaguo la kwanza kupanga bei ya dhahabu. Lakini hata hivyo pamoja na kwamba dhahabu ilikuwa hadimu lakini sio bidhaa muhimu. Walivyofanya utafiti wakaona mafuta ndio kila kitu walihamishia nguvu kwenye mafuta. Leo hii dola ndio inapanga bei za mafuta. Hii ina maanishi nini. Ni kuwa fedha ya nchi inavyokuwa na uamuzi juu ya bidhaa muhimu kwa matumizi ya lazima lazima iwe na nguvu zaidi.
2. Fedha ngumu na fedha laini.
hapa ulimwengu kuna fedha nyingi mnoo. Lakini kuna zile ambazo thamani yake haitetereki (ngumu) na nyingine hutetereka kama udongo wa tifu tifu hizii huitwa fedha laini. Inapokuja swala la kibiashara hasa za kimataifa ili ufaidike na kuepuka hasara [loss on foreign currency). Mfanya biashara makini atachagua fedha ngumu. Sasa hapo kwa kutumia utashi hutafikiria vitu kama uzalendo. Utawaza je lengo la biashara yangu linatimia?
Nani anae control thamani ya pesa? Tunajua thamani ya shilingi huwa inapanda na kushuka.
Pia kwa nn kenya pesa yao haidhuke licha ya kwamba imetetereka kiuchumi miaka mitano iliyopita kuliko tz na tz ina mali nyingi kuliko kenya. Kwann pesa yetu isiwe na thamani kuliko ya kenya
Kwa Mara kwanza tangu kuanzia kwa USA, wako hatarini kufikia Debt ceiling, hii maana yake ni kwamba wamechaposha pesa nyingi mno (kukopa) kiasi dunia haiko tayari tena kuwakopesha , hasa China na Japan kwa sababu deni linavuka kiwango kinachohimilika. Sababu kubwa ni waMarekani kujifungia ndani bila kufanya kazi huku wakichaposha noti na kuagiza bidhaa mbalimbali toka China, Japan, India na Africa; hivi sasa wanajadili kupandisha debt ceiling, ili kuongeza kiwango cha pesa wanachoweza kukopa toka kwa dunia ili kuhudumia miradi mbalimbali ya miundo mbinu.
Wamarekani ni watu wajanja Sana, kwakuwa wameshikilia currency ya dunia basi wataendelea kuwa namba moja kiuchumi. 1. Bajeti yao ikipungua wanaprint dollar, feds 2. Wakipata msukosuko wanaprint dollar 3.wanaprint Dolla wanakukopesha 4. Mabenki yao yakiyumba wanaprint dollar wanawapa Sasa...
=================================
Update: 08/10/2021
Marekani yaongeza kikomo cha kujikopesha, hivyo watachapisha tena baada ya kupandisha kikomo cha ‘Debt ceiling’ , watachapisha Dollar Bilioni 480 (Tsh. Trillion 1,200) ili kupata nafuu ya muda hadi December. Yaani Bajeti ya Tanzania ya miaka 50 wao wanachapisha ili iwasukume kwa miezi miwili tu, hahahah.
Bidhaa nchini marekani zimeanza kupanda bei kwa kasi baada ya pesa kuwa nyingi na bidhaa kuwa adimu, haya ni matokea ya uchapishaji noti kwa kasi isiyo ya kawaida, dunia inashindwa kuzi-absorb kwa haraka hivyo zingine zinabaki na kujazana huko USA.
Kwa ufupi tu, baada ya vita ya pili ya dunia kulikaa mkutano wa nchi kama 27 ulijulikana kama BRETTON WOOD mwaka 1940's, hawa jamaa walikaa kuangalia masuala kama, biashara za kimataifa, exchange rate n.k...so , baada ya hii vita, kulitokea mfumuko mkubwa wa bei ya vitu, hivyo pesa za mataifa mengi zilipoteza dhamani kutokana na mfumuko wa bei/inflation..ILA dollar ni Kati ya pesa ambazo still ilikua stable ivyo huo mkutano katika kujadili kwao biashara za kimataifa baina ya nchi na nchi, walifikia makubaliano ya kwamba, KWAKUA DOLLAR BADO HAIJAATHIRIKA SANA na mfumuko wa bei, tuwe tunaitumia kwenye kufanya biashara za kimataifa....so kuanzia hapo kila nchi ikawa inaweka pesa za Marekani/Dollar kwao kama reserve kwa ajili ya biashara za kimataifa pamoja na ku import new technologies
Pili hawa jamaa walikubaliana na kuweka mifumo ya pesa inayotumika mpaka leo,mfano kodi za kuingiza na kutoa bidhaa kutoka matafaifa tofauti tofauti/tariff mabadilishano ya fedha za kigeni/exchange rates.
Jamaa pia ndo walianzisha, International Monetary Fund IFM, zinazowapa mikopo mpaka leo,, Wakaanzisha na World Bank groups kwenye miaka ya 1945.
So kuanzia hapo dollar ikaanza tumika Dunia Nzima mpaka leo..
Note, nimeona mtu kasema,dollar inathamani kuliko pesa nyingne zote,jibu ni Hapana kunapesa zinanguvu sana zaidi ya dollar.
Kila mahali watu wana gombania dollar ya kimarekani , lakini cha kushangaza hanunui toothpick, simu, gari wala hata kahawa kutoka marekani. Vitu kama hajanunua China, basi atanunua Japan, la sivyo atanunua vya humu Tanzania. Sasa hii shobo ya kutaka dollar ni ya nini? Kwanini msitake Chinese Yuan au Japanese Yen kwenye bureau offices, au China na Japan hukataa pesa yao wenyewe?! Hivi hizo dollar mnanunuliaga nini huko marekani?
================================
Update: 03/08/2019
Hatimaye ukweli umegundulika, kumbe Marekani ilikuwa inachapisha dollar nyingi kuliko ukuaji halisi wa uchumi wai na kwenda kuzisambaza duniani, na kwa kuwa kila kitu kinakuwa traded in dollar le shock ilikuwa inabebwa na mataifa mengine yanayotumia dollar kama base curreny. Sasa Marekani ili kuendelea kumaintain a high standard of life kwa wananchi wake imejikuta ikichapisha Trillions of dollars hewa ambazo kiuhalisia hazina back up ya dhahabu au mali yoyote ile ya ku-support hayo makaratasi wanayochapisha, ni kama wanaikopa dunia, kiasi kama wote tukisema turudishe dollar tulizonazo kwa serikali ya marekani ili iwezu redeemed kwa dhahabu ay mali zingine ni kwamba kutakuwa na excess ya dollar Trillion 22 ambazo zitakosa mali za kuwa redeemed with, yaani hawa mbwa wanaishi kwa kuchapisha pesa tu, hawafanyi kazi, ni wanaikopa dunia!
Kwa Mara kwanza tangu kuanzia kwa USA, wako hatarini kufikia Debt ceiling, hii maana yake ni kwamba wamechaposha pesa nyingi mno (kukopa) kiasi dunia haiko tayari tena kuwakopesha , hasa China na Japan kwa sababu deni linavuka kiwango kinachohimilika. Sababu kubwa ni waMarekani kujifungia ndani bila kufanya kazi huku wakichaposha noti na kuagiza bidhaa mbalimbali toka China, Japan, India na Africa; hivi sasa wanajadili kupandisha debt ceiling, ili kuongeza kiwango cha pesa wanachoweza kukopa toka kwa dunia ili kuhudumia miradi mbalimbali ya miundo mbinu. View attachment 1959065
=================================
Update: 08/10/2021
Marekani yaongeza kikomo cha kujikopesha, hivyo watachapisha tena baada ya kupandisha kikomo cha ‘Debt ceiling’ - Watachapisha Dollar bilioni 480 na kuja kuzibwaga Africa, China na Japan ili kupata nafuu ya muda hadi December.(Tsh. Trillion 1,200) Yaani Bajeti ya Tanzania ya miaka 50 wao wanachapisha ili iwasukume kwa miezi miwili tu, hahahah. View attachment 1967812
Sio kuchapisha Dola nyingi ila ni kuzingatia export na import, ina maana wana viwanda vingi hivyo kuuza kwa wingi nje. Pesa yao inaimarika kwa hilo na kupendwa na wengi duniani
Sio kuchapisha Dola nyingi ila ni kuzingatia export na import, ina maana wana viwanda vingi hivyo kuuza kwa wingi nje. Pesa yao inaimarika kwa hilo na kupendwa na wengi duniani
Nchi ya Tanzania kuelekea 2025 Rais Samia Suluhu amedhibiti mfumuko wa bei|| US, UK, Uturuki, Ujerumani hali ni mbaya. === Nchi tajiri kabisa dunia ya Marekani inayomiliki zaidi ya asilimia 20 ya Uchumi wote wa dunia hii nayo ni muhanga wa hili, Marekani inashuhudia mfumuko mkubwa na mbaya...
Russia to Return to Gold Standard, Government to Remove VAT (Tax) on Bullion. This bill will be submitted to the State Duma on March 4,2022. In one fell swoop, Russia just made the Russian Ruble the single most stable currency in the entire world. Moreover, they just fucked the US Dollar and the...
www.jamiiforums.com
Russia to Return to Gold Standard, Government to Remove VAT (Tax) on Bullion. This bill will be submitted to the State Duma on March 4,2022.
In one fell swoop, Russia just made the Russian Ruble the single most stable currency in the entire world.
Moreover, they just fucked the US Dollar and the EURO so badly, neither currency is likely to survive.
Nobody around the world will favor a US dollar,backed by nothing, from a nation $30 TRILLION in debt, versus a gold-backed Ruble.
Russia just completely SMASHED the United States and the EUROZONE.
Think I'm kidding? Think again.
When Muammar Qaddafi in Libya planned on a Gold-backed currency for all of Africa, the West went into Libya and overthrew him.
When Saddam Hussein in Iraq announced he would start selling oil in currencies other than the U.S. Dollar, two months later was Iraq War 2 - and they hung him!
The U.S. Dollar being the sole reserve currency for this planet is why wars get waged, and now Russia has completely, totally smashed it.
You watch. The U.S. that has been saying "no nuclear war" and even Defense Secretary Lloyd Austin saying yesterday "All this talk of nuclear war is dangerous, stop it" is going to change almost overnight. The US is now in an existential crisis. Our currency has just been utterly smashed by Russia's decision to back the Ruble with Gold.
Watch the rhetoric about Russia from this moment on. You will notice it is ratcheted-up to vilification like you've never seen before. Why, they'll probably start accusing Russian troops of throwing babies out of incubators in Ukraine hospitals (like they accused Iraq) in order to justify going to war with Russia.
In my personal opinion, war with Russia is now a foregone conclusion. The US and Europe have no choice. If the Dollar and the EURO are to survive, Russia must be killed.
I hope you prepped. Food, water, medicine, etc.
Now get right with God. I mean it. The shit is about to hit the fan so badly, we'll be lucky to live through it.
UPDATE 8:45 AM EST FRIDAY MARCH 4 -- Two days ago on March 2, 2022, I recall seeing a SINGLE off-the-beaten-path notification which read simply "the EU has forbidden sale and import of EU banknotes into Russia." I remember thinking this was odd. How can anyone restrict the movement of cash and why would they? Now, we know.
Clearly the European Union (EU) got word that Russia was going to back their currency with Gold and the EU wanted to make sure no one in Europe could sell or even bring their cash EUROS into Russia to dump them for gold-backed currency! The EU knew this was coming . . . or at least they strongly feared it.
So now, people in Europe are hamstrung; they cannot use THEIR OWN MONEY to buy some other type of money without first converting that money to someone else's money that isn't restricted from going into Russia. Jump through hoops to use your own cash. These Bankers ARE tyrants. Outright vicious tyrants.

Hii vita ndo kwaaaaaaanza imeanza. Haishi leo wala kesho. Ukraine ni ka part kadogo sana ka vita. Tutashuhudia zaidi ya hapo. Russia inataka kutumia dhahabu kama hela.
Hii vita ndo kwaaaaaaanza imeanza. Haishi leo wala kesho. Ukraine ni ka part kadogo sana ka vita. Tutashuhudia zaidi ya hapo. Russia inataka kutumia dhahabu kama hela.
Hizi tabia za kuchapisha pesa hewa na kuja kuzitupa kwenye mataifa ya wenzao itakuja kufika mwisho, ukichunguza ni kama utapeli hivi wanafanya, pesa haiwi backed na chochote, wanachapisha tu kisa wana trust yetu

Sisi tunaifanyia kazi pesa wao wanaitengeneza hela. Yani ni kama unajaribu kushindana mafanikia na boss wako aliekuajiri. Sanasana utamfanya awe tajiri zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.