johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kama unapenda kosoa kosoa kama nyumbu, unapaswa utambue sio wote nyumbu, unamind mtu akisifia Tz, si ufara huo.Watanzania tunapenda kujifariji kwa kauli za kifala sana.
Hata kufurusha nzige waliovamia Kilimanjaro!Yes mnawashinda Kenya kwenye wizi wa kura.
Waziri wa Kenya naye anaua nzige kwa mateke?Hata kufurusha nzige waliovamia Kilimanjaro!
Kenya hadi leo bado wanahangaika na nzige huku kwetu ilimchukua Bashe siku 4 tu kuwafurusha!Waziri wa Kenya naye anaua nzige kwa mateke?
Kwahiyo dunia nzima inaiamini Kenya?!Hatuwezi kupata soko jingine nje ya nchi kwa sababu Kenya wamesema Kwenye taarifa yao wamesema mahindi kutoka Tanzania yana sumu kuvu (aflatoxin) inayosababisha kansa. Sasa ni nchi gani itakubali kununua mahindi yetu watu wake wakaugue kansa?
Hili jambo ni matokeo ya uongozi wetu kuwa na kauli za kijinga kila wakati
Labda tuanzie hapa, kwani asiyeheshimu wenzake ni nani? Na anayejiona mjuaji zaidi ya mwingine ni yupi?Kenya inaitegemea zaidi Tanzania katika nyanja mbalimbali kuliko Tanzania inavyoitegemea Kenya katika mambo machache sana hasa soko la nafaka na matunda.
Ni vema tukaendelea kuheshimiana maana aliyeshika mpini anajulikana.
Nawatakia Kwaresma yenye baraka!
Maendeleo hayana vyama!
Ni kama wewe tu, ni kati ya watu wa ajabu wanaopenda kuponda nchi yao na kusifia kwa watu ambao hawana lolote la kutuzidi sisiWatanzania tunapenda kujifariji kwa kauli za ajabu sana.
Kwahiyo dunia nzima inaiamini Kenya?!
Ni kama wewe tu,ni kati ya mafala wanaopenda kuponda nchi yao na kusifia kwa watu ambao hawana lolote la kutuzidi sisi