Uhusiano mbaya kati ya nchi hizi mbili, unatokana na utawala uliopo kuamini kwamba matumizi ya kauli za kibabe ndio suluhisho la mambo yote.
Kwa upumbavu huu, tayari urafiki wetu na Rwanda ni kama umekufa. Urafiki wetu na Kenya ndio hivyo tena.
Tumekuwa wehu, hata wahisani wetu tumekuwa tukiwaita majina ya kashfa na dharau kubwa.
Uongozi umekosa hekima.
No diplomacy at all
Kuna msanii mmoja aliimba:
"Huu ni ushamba"
Kwa hakika ndiyo huu kweri kweri sasa!
Au nasema uongo ndugu zangu?