Tanzania tunawazidi Kenya katika mambo mengi, jambo la msingi tuendelee kuheshimiana

Tanzania tunawazidi Kenya katika mambo mengi, jambo la msingi tuendelee kuheshimiana

Huchagui jirani lakini kuwa jirani na Kenya ni bahati mbaya Mungu alitupa. Kenya ni washamba.. Wajuaji.. Pro wazungu.. Wana roho mbaya.. Ningekuwa mm Rais ningeimarisha uhusiano na nchi za sadc sana.. Hasa Zambia.. Mozambique.. Kuliko Kenya.. Mbwa hawa
Sasa kama wana sifa zote hizo mbaya, kwanini tuendelee kushirikiana nao hata kwa hayo machache yaliyobaki?
Kuna mambo watz tunatakiwa kujifunza na labda kuzoea kuona au kusikia. Kenya ni nchi kama tulivyo sisi, wana haki na uhuru wa kuamua wanachotaka na wasichotaka kama sisi. Siyo mara ya kwanza Kenya kufanya mambo ambayo sisi watz tunayaona ni ya ajabu ajabu, iwe faida au hasara kwao haituhusu tuendelee na ya kwetu, kelele za nini? Hata wakiamua kujenga ukuta mpakani kama tuliojenga kule Mererani kulinda tanzanite yetu, tuwaache, wana haki na uhuru wa kufanya hivyo. Tusililie Kenya ambayo iko kama kinyonga, tuangalie wale majirani wengine tulionao tushirikiane nao.
Kenya tunaijua vizuri na wala sikutegemea kama kuna mtu angepiga kelele kutokana na walichofanya.
 
Huchagui jirani lakini kuwa jirani na Kenya ni bahati mbaya Mungu alitupa. Kenya ni washamba.. Wajuaji.. Pro wazungu.. Wana roho mbaya.. Ningekuwa mm Rais ningeimarisha uhusiano na nchi za sadc sana.. Hasa Zambia.. Mozambique.. Kuliko Kenya.. Mbwa hawa
Kenya ni Mali ya mzungu...
 
Mara baada ya vita ya pili ya dunia, ujerumani ilipokwa makoloni yake ikiwemo tanzania na kupewa muingereza.
kipindi cha ukoloni kenya ikiwa milki kamili ya muingereza na tanzania ikiwa ni milki ya UN na uingereza alipewa kutuongoza tu maana tulikuwa bado hatuwezi kujitawala.

uingereza waliwekeza zaidi mazao ya biashara kenya na upande wa tanzania muingereza aliwekeza kwa kiasi kikubwa mazao ya chakula kwa sababu alijua atakabidhi muda wowote.

hivyo kenya walikuwa wanauza mazao mengi ya biashara nje then wanachukua sehemu ya faida kununua mazao ya chakula tanzania.
sasa hilo suala limeendelea hata baada ya nchi zote kupata uhuru.

jambo la msingi ni serikali ituongoze na kutusaidia katika huu mkwamo. serikali haikupi hela ya ubwabwa ila inajenga miundombinu ya kutusaidia tufanye kazi ili iwe na manufaa.
sasa hizi nye nye na Kenya ni ishara bado muongoza njia hajapata majawabu kutuondoa kwenye hali tangu uhuru.



Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Kutokana na 'comparative & competitive advantages" kila nchi imejaliwa kuwa na vitu muhimu ambapo nyingine haina. Kwa hiyo kila nchi hunufaika kiuchumi kupitia mahusiano mema ya nchi moja na nyingine.

Katika suala hili ni lazima zitumike njia za kidiplomasia ili kurudisha mahusiano mema na yenye kufanya nchi hizi mbili kuzidi kuaminiana ktk masuala ya kibiashara. Sidhani kama ni busara kuanza kuendekeza chuki za wazi, kejeli na vita vya maneno, ni mambo ambayo kwa hakika hayasaidii kitu chochote kile.
Dunia ya leo ni kijiji, tunaishi kwa kutegemeana na diplomasia ni muhimu kuliko kuleta ushabiki wa Simba Vs Yanga kwenye mambo ya msingi. Mambo ya sijui, kutunishiana misuli, mara mimi ni bora kuliko wale yalishapita na wakati...
 
Turudi ubaoni simu kuvu inatokana nini kwenye mahindi ? Tuwaache wana diplomasia wataongea na kuweka na sawa .....tujue ukweli mahindi yetu
Kutokufuata good agricultural practices
 
Mpaka kuolewa wanataka wa Tanzania ndio tukawaowe alafu leo ndio watuletee dharau inawezekana vipi sasa??au ndio wanajitongozesha kwetu kupitia njia tofauti....
 
Kenya na wao wanatuuzia vitu vingi vyenye viambata sumu hatari kwa afya ya Watanzania. Mfano ni chumvi, sabuni ya jamaa na bidhaa nyingine nyingi za kampuni ya BIDCO na maziwaya Brookside. Kamishina wa customs zuia hizo bidhaa kulinda afya ya watanzania.
 
Na kwa hili hatuna pa kuilaumu serikali ya Tanzania. Wanaoilaumu serikaliya Tanzania wana nyongo zao za muda mrefu. Kuchomwa kwa vifaranga ni miaka mingi iliyopita na ilikuwa retaliation ya makataa waliyotuwekea mahali. Acheni kushadadia Taifa lingine kuliumiza Taifa letu kiuchumi.
 
Huchagui jirani lakini kuwa jirani na Kenya ni bahati mbaya Mungu alitupa. Kenya ni washamba.. Wajuaji.. Pro wazungu.. Wana roho mbaya.. Ningekuwa mm Rais ningeimarisha uhusiano na nchi za sadc sana.. Hasa Zambia.. Mozambique.. Kuliko Kenya.. Mbwa hawa
JamiiForums hii kauli ya “mbwa hawa” ifutwe. Tushindane kwa hoja za msingi na si matusi
 
Kenya inaitegemea zaidi Tanzania katika nyanja mbalimbali kuliko Tanzania inavyoitegemea Kenya katika mambo machache sana hasa soko la nafaka na matunda.

Ni vema tukaendelea kuheshimiana maana aliyeshika mpini anajulikana.

Nawatakia Kwaresma yenye baraka!

Maendeleo hayana vyama!
Ndiyo. Likiwemo na la kutotumia akili na kujikomba sana kwa viongozi wetu.
 
Kenya inaitegemea zaidi Tanzania katika nyanja mbalimbali kuliko Tanzania inavyoitegemea Kenya katika mambo machache sana hasa soko la nafaka na matunda.

Ni vema tukaendelea kuheshimiana maana aliyeshika mpini anajulikana.

Nawatakia Kwaresma yenye baraka!

Maendeleo hayana vyama!
Uongo utakusaidia nini ?
 
Back
Top Bottom