johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
- #101
Rais ni taasisi usiwe mbwiga bwashee!Tumewazidi kuwa na raisi msomi mwenye PhD lakini lugha aliochukulia hiyo Phd imamtesa
Rais ni taasisi usiwe mbwiga bwashee!Tumewazidi kuwa na raisi msomi mwenye PhD lakini lugha aliochukulia hiyo Phd imamtesa
Ni utani tu Meko hana PhDTumewazidi kuwa na raisi msomi mwenye PhD lakini lugha aliochukulia hiyo Phd imamtesa
Real data hizo Mkuu, hongera. Ni wachache humu wanaoijua Kenya ndiyo maana wanaropoka tu.Acha kujilisha matango. Uchumi wa Kenya according to GDP ni mara mbili ya Tanzania. Wakati sisi ni usd 50b wao wanacheza above usd 100b. Halikadhalika,bajeti yao ni mara mbili ya Tz,ilihali population yao ni chini ya Tz kwa 10m. Mshahara wa mwalimu wa Kenya ni mara mbili ya ule wa Tz. Kwa data hizo chache hebu acheni kujifariji kwa vitu ambavyo havipo!
Umekaa kishamba sana mkuu.. Wakenya wana nafuu sanaHuchagui jirani lakini kuwa jirani na Kenya ni bahati mbaya Mungu alitupa. Kenya ni washamba.. Wajuaji.. Pro wazungu.. Wana roho mbaya.. Ningekuwa mm Rais ningeimarisha uhusiano na nchi za sadc sana. Hasa Zambia, Mozambique.. Kuliko Kenya.
Tusi liko wapi?Kwa nini unatumia lugha ngumu na za matusi?!!,huwezi kutoa mchango wako kwa kutumia lugha ya kawaida tu na ukaeleweka?!,
Wewe fala makeneza kama taasisi sindiyo tumewazidi katika taasisi hiyo buku 7 zimekuharibu mfia chama awamu ya 6 mtayeyuka wengi akina pangu pakavu tia mchuziTumewazidi kuwa na raisi msomi mwenye PhD lakini lugha aliochukulia hiyo Phd imamtesa
Uwenda ndio sera yetu kwa sasa. Hatujuwi wanayo juwa wao!Uhusiano mbaya kati ya nchi hizi mbili, unatokana na utawala uliopo kuamini kwamba matumizi ya kauli za kibabe ndio suluhisho la mambo yote.
Kwa upumbavu huu, tayari urafiki wetu na Rwanda ni kama umekufa. Urafiki wetu na Kenya ndio hivyo tena.
Tumekuwa wehu, hata wahisani wetu tumekuwa tukiwaita majina ya kashfa na dharau kubwa.
Uongozi umekosa hekima.
No diplomacy at all
Kiukweli uchumi wa Kenya uko juu na wala tusipepese macho. Jiulize kwa nini Kenya ina makampuni zaidi ya 200 yaliyowekeza Tanzania na je Tanzania wana Makampuni mangapi yaliyopo Kenya? Nchi zote za Afrika Mashariki ni soko la bidhaa za Kenya. Uchumi haudanganyi.Mkuu, wewe unewahi kutembelea vijiji vya Kenya na kuona raia wa kawaida wanavyo ishi? Aibu tupu, majisifu ndio mengi kuliko uhalisia.
Hama full stopWatanzania tunapenda kujifariji kwa kauli za ajabu sana.
Unataka kusema chokochoko za Wakenya zimeanza leo?Uhusiano mbaya kati ya nchi hizi mbili, unatokana na utawala uliopo kuamini kwamba matumizi ya kauli za kibabe ndio suluhisho la mambo yote.
Kwa upumbavu huu, tayari urafiki wetu na Rwanda ni kama umekufa. Urafiki wetu na Kenya ndio hivyo tena.
Tumekuwa wehu, hata wahisani wetu tumekuwa tukiwaita majina ya kashfa na dharau kubwa.
Uongozi umekosa hekima.
No diplomacy at all
Nimekuelewa bwashee!Kiukweli uchumi wa Kenya uko juu na wala tusipepese macho. Jiulize kwa nini Kenya ina makampuni zaidi ya 200 yaliyowekeza Tanzania na je Tanzania wana Makampuni mangapi yaliyopo Kenya? Nchi zote za Afrika Mashariki ni soko la bidhaa za Kenya. Uchumi haudanganyi.
Angalia takwimu za bajeti za Afrika Mashariki kwa mwaka 2019/20; Kenya Tsh 66.8 Trilion, Uganda Tsh 23.6 Trillion na Tanzania 30.4, Rwanda Tsh 6.8 Trilion, Burundi 1.8 Trilion na South Sudan Tsh 3.5 Trillion (ambayo jumla ya yote ni Tsh 66.1 Trilion). Picha unayopata ni kwamba uchumi wa Kenya ni mkubwa kuliko nchi zingine zote 4 za Afrika Mashariki yote zikiwekwa pamoja.
Tuna bandari, treni ya mwemdokasi, ndegeulaya, mlima Kilimanjaro, ziwa Victoria, mbuga za wanyama na pesa yetu iko juu yaani shilingi moja yetu sasa na shilingi zaidi ya ishirini ya Kenya, hapo ukiacha bidhaa lukuki toka viwanda vyetu kwenda Kenya.Kenya inaitegemea zaidi Tanzania katika nyanja mbalimbali kuliko Tanzania inavyoitegemea Kenya katika mambo machache sana hasa soko la nafaka na matunda.
Ni vema tukaendelea kuheshimiana maana aliyeshika mpini anajulikana.
Nawatakia Kwaresma yenye baraka!
Maendeleo hayana vyama!
Tupe na ya kwenu Malawi!Tuna bandari, treni ya mwemdokasi, ndegeulaya, mlima Kilimanjaro, ziwa Victoria, mbuga za wanyama na pesa yetu iko juu yaani shilingi moja yetu sasa na shilingi zaidi ya ishirini ya Kenya, hapo ukiacha bidhaa lukuki toka viwanda vyetu kwenda Kenya.
Kulikoni kuchanganya lugha ni bora ukatumia kimachame tutakuelewa tu bwashee!Pale punguani lipo kwenye his own bubble,hajui nje pakoje halafu anatoa opinion ya walio nje ambako hajawahi kufika.
Hii superiority complex ya weaker people ni very annoying
It shows how weaker you are
Yaani nzige anamletea kelele kuku?
Ni wakati wa utawala huu wa Magufuli tu ndio unaona this level of nonsense
Kauli kama ipi iliyosababisha Kenya kufanya hivyo?Hatuwezi kupata soko jingine nje ya nchi kwa sababu Kenya wamesema Kwenye taarifa yao wamesema mahindi kutoka Tanzania yana sumu kuvu (aflatoxin) inayosababisha kansa. Sasa ni nchi gani itakubali kununua mahindi yetu watu wake wakaugue kansa?
Hili jambo ni matokeo ya uongozi wetu kuwa na kauli za kijinga kila wakati
Nyumbu huwa hakosoi bali ufuata tuu.Kama unapenda kosoa kosoa kama nyumbu, unapaswa utambue sio wote nyumbu, unamind mtu akisifia Tz, si ufara huo.