mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,740
- 11,976
Kauli kama ipi iliyosababisha Kenya kufanya hivyo?
Ni kweli Kenya imekua tegemezi kwa mazao ya nafaka kutoka Tanzania tangu uhuru. Kuna watu wanadhani utegemezi huo hauwezi kuisha. Si kweli!!
Ni kweli Kenya imekuwa tegemezi kwa mazao ya nafaka kutoka Tanzania tangu uhuru. Kuna watu wanadhani utegemezi huo hauwezi kuisha. Si kweli!!
Naona wengi katika mjadala huu wa mahindi wanaujadili kwa ushabiki wa siasa. Wakenya wananunua mahindi Mexico kwa bei ndogo mara tatub(3) ya bei wanayonunua hapa nchini. Kwahiyo kibiashara si rahisi kurudi. Niliona na kusoma katika “The Standard”wakisema katika mwezi huu Kenya wameingiza...